Wasioamini katika uchawi na ushirikina wana hoja lakini...

Wasioamini katika uchawi na ushirikina wana hoja lakini...

Kitu ambacho wengi hatukifahamu ni kwmb, Shetani alipotupwa Ulimwenguni aliachiwa uwezo wake na ilipewa pia mamlaka ya kumchezea mwanadamu ikiwemo kumjaribu.

Ukisoma kitabu cha Ayubu pale mwanzoni utakutana na kisanga cha Shetani kumjaribu Ayubu na alitumia njia za kichawi.

Hata leo wapo wanajiita manabii wanatumia njia za kichawi kufanya miujiza ikiwemo kuponya na kutajirisha. Zote hizi ni kaz ya Shetani.

Pia ningependa kuwajuza jambo jema ambalo mtoa uzi kaligusa.
Ukiwa shabiki wa Simba wa ukweli lazma utawajua wachezaji wa Yanga na mbinu wanazozitumia kuwafunga ninyi, vivyo hivyo kinyume chake.

Ukiegemea kwa Mungu utayajua ya Shetani na ukiegemea kwa Shetani utayajua ya Mungu.
Kujua jambo la upande wa pili si lazma ulifanye lakn linakupa njia na ari ya kupambananalo na kulishinda kama ilivyo kwa Mungu na Shetani kutwa hufanya kampeni.

Huu uzi ni mzuri sana na unaeleweka lakn tu kwa watu wenye uzoefu na maisha kwa maana ya wale walopitia matatizo mengi ya kimaisha.

Kujua mambo ya kichawi ni elimu pia japo inaweza kuwa si rasmi maana haina cheti wala waziri wetu haitambui hi kitu hahahahahaha, lakn nimependa hii mada.

Msojua mtajua tu siku yakiwakuta.
Asante sana Prosper C Manasse umeiweka vema hii . Uchambuzi wako uko vizuri
 
Asante sana Prosper C Manasse umeiweka vema hii . Uchambuzi wako uko vizuri
Kaka Mshana Jr kuna kipengele kidogo ilikigusa kimebeba maana kubwa sana.
"Mpagani Ndiye Pekee Anaweza Kuwa Haamini Uchawi Wala Mungu" Upo sahihi sana, unajua mtu akishaamua kusimama eidha kwa Mungu ama kwa kwa Shetani, ni wazi kwmb ameshaanzisha vita na upande mmoja kati hzo tajwa

Wana Jf watambue kwmb, Wachawi ni PRODUCT ya Shetani so UCHAWI ni MTI ndani ya MSITU wa Shetani.

Musa alipotumwa kuwakomboa Waisrael kule Misri alitumia FIMBO kufanya mijiza ili Farao akubali kuwaachia watumwa wale.

Moja kati ya MIUJIZA alofanya ni kuigeuza fimbo alonayo kuwa Nyoka. Firauni nae akaagiza waganga wake wageuze fimbo kuwa nyoka kama alivyofanya Musa, lakn nyoka wa Musa aliwameza nyoka wa Firauni.

Uchawi upo, vitabu vyote Quran/Bible vinatambua uwepo wa uchawi tangu kale na kale kwa hvyo hata kama wewe ni mpagani ipo cku utaamini maana hakuna namna.
 
"Mystery mongering and superstition are always the signs of weakness"
Said Swamiji Vivekananda
 
Wakati wenzetu wanawaza mambo ya kimaendeleo ya maisha na new ideas sisi tunajadili uchawi,waganga wa kienyeji na vitu visivyo na direct impact kwenye maendeleo ya maisha yetu ya kila siku!!

Ndio maana tunajikuta tupo nyuma siku zote tu wakati wenzetu wanapiga hatua mbele kila dakika
 
Duu kweli aiseee halafu mtu anayewaza maendeleo anapoteza muda na mb zake ku comment mambo yasiyo ya kimaendeleo kweli kazi tunayo
 
Mkuu we we unawaza mambo ya uchawi au Maendeleo
 
Hakuna mungu, hakuna shetani, hakuna uchawi.

Kama unafikiri upo thibitisha.
 
Hakuna mungu, hakuna shetani, hakuna uchawi.

Kama unafikiri upo thibitisha.
Dah Kirangaaaaa...nilifkiri umekufa,na wenda ikawa hivyo sababu tabia yako yakumkashfu Mungu aliyekuumba Itafika mahali hatakuvumilia tena..kwasababu huna faida yeyote hapa Duniani.
 
Hata mimi nawashangaa mno halafu wanatokea wapuuzi kama wewe kusoma na kuchangia upuuzi.... Unajua @mbaumbau chizi akikukuta mtoni uko uchi unaoga akokota nguo zako akakimbia nazo kisha ukamkimbiza, wewe ndio utaonekana chizi zaidi.... Kujiepusha na hili ukiona mada ya kipuuzi usijaribu hata kuifungua badala yake unaenda kuanzisha yako isiyo ya kipuuzi.... Naamini umenielewa mpuuzi wewe
Sio kila anaye comment yupo interested na topic,

tunawaamsha na wengine waache haya mambo ya kufikirika na wajikite kwenye maisha halisi,

haya mambo sijui ya uchawi au waganga yanafaida gani katika maisha ya binadamu? Kuamini sana haya mambo na kuacha kazi za kimaendeleo ni kujitia umasikini wa kujitakia tu.
Duu kweli aiseee halafu mtu anayewaza maendeleo anapoteza muda na mb zake ku comment mambo yasiyo ya kimaendeleo kweli kazi tunayo
 
Sio kila anaye comment yupo interested na topic,

tunawaamsha na wengine waache haya mambo ya kufikirika na wajikite kwenye maisha halisi,

haya mambo sijui ya uchawi au waganga yanafaida gani katika maisha ya binadamu? Kuamini sana haya mambo na kuacha kazi za kimaendeleo ni kujitia umasikini wa kujitakia tu.
Usijichanganye hebu kuwa mkweli kasome tena ulichoandika kwenye reply ya Kiranga
 
MCHAWI HAWEZ KUMLOGA mtu ambaye Hamini katika imani ZA kichawi au mtu ambaye hamfahamu JE Ni kweli?
 
Back
Top Bottom