Wasioamini katika uchawi na ushirikina wana hoja lakini...

Wasioamini katika uchawi na ushirikina wana hoja lakini...

Watu wabishi tu.
Ukiwauliza na hiki ninini wataishia kukupa majibu ya kuchekesha na Kama zingekuwa ni sura za wazungu wangekuambia ni movie 1451823933723.jpg
 
Uchawi una matabaka na viwango vya aina tofauti uchawi wa tunguli unaweza kuzinguliwa na uchawi wa kitabu kulingana na nguvu yake
Mkuu, inakuaje Mchawi aingie ndani mwako afanye anachotaka na asiweze kuiba pesa au kukuwekea sumu ?
 
Mkuu, inakuaje Mchawi aingie ndani mwako afanye anachotaka na asiweze kuiba pesa au kukuwekea sumu ?
Kila kitu kina taratibu zake, uchawi wa pesa unaitwa chumaulete ni sekta nyingine Kabisa
 
Kuna raia wasipoanzisha thread cjui huw wanajskia vbya coz hata upuuzi huanzshiwa thread!
 
Kuna raia wasipoanzisha thread cjui huw wanajskia vbya coz hata upuuzi huanzshiwa thread!
Hata mimi nawashangaa mno halafu wanatokea wapuuzi kama wewe kusoma na kuchangia upuuzi.... Unajua @mbaumbau chizi akikukuta mtoni uko uchi unaoga akokota nguo zako akakimbia nazo kisha ukamkimbiza, wewe ndio utaonekana chizi zaidi.... Kujiepusha na hili ukiona mada ya kipuuzi usijaribu hata kuifungua badala yake unaenda kuanzisha yako isiyo ya kipuuzi.... Naamini umenielewa mpuuzi wewe
 
Mungu ni mwema hata ametuwezesha kuuona mwaka 2016, tuombeane heri katika mwaka huu. Hii ni topic yangu ya kwanza mwaka huu, naomba twende pamoja

Kwenye hizi mada za uchawi ushirikina kumekuwa na upinzani mkubwa sana kuhusu uwepo wa uchawi ushirikina uwepo wake na nguvu yake, wao hawajawahi kuona uchawi na wanasema wako tayari kurogwa ili waweze kuamini

Kwanza uchawi haufanyi kazi kihivyo, uchawi ni kitu cha siri uchawi ni roho ni nguvu isiyoonekana ni kitu kisicho na ithibati za kisayansi au kama sayansi ,lakini hii haiondoi ukweli kama uchawi haupo, kutokuamini katika jambo fulani haukuondoi uhalisia wa uwepo wa jambo husika

Ningekubaliana nao kama wangesema hawaamini katika uwepo wa waganga wa kienyeji na wachawi. Mtu ambaye anaweza kusema haamini katika uchawi na akawa na hoja ni mpagani peke yake, lakini kama wewe unaamini katika Mungu lakini huamini katika uchawi huku ni kujichanganya kulikopitiliza, au hujui unachokiamini na hata maandiko kwenye misahafu huyasomi ukayaelewa

Nilishaulizwa hapa jamvini kuwa hebu nionyeshe uchawi ukoje? Duu..! Nikabaki kinywa wazi

Hivi leo hii ukimuuliza mtu JAMII FORUM ikoje? Hayo majibu utakayoyapata unaweza kubaki na kwikwi, sasa hii ni JF kitu cha wazi kabisa.... Tuna mengi ya kuhoji kabla ya kufikia kuhoji uwepo wa uchawi

Kwahiyo wale wote wasioamini katika uchawi na ushirikina wana hoja lakini wanajichanganya na hawajui jinsi ya kuitetea, warudi wakajipange upya
Wewe umeshindwa kujitetea hapo kuhusu uchawi, uchawi Broo ni suala la imani, kwishnei.
 
Back
Top Bottom