Kadhi Mkuu 1
JF-Expert Member
- Feb 4, 2015
- 22,369
- 28,022
Upagani ni dini inayoamini vitu ambavyo siyo Mungu.Wapagani wenzangu, habari za jioni. Karibuni tujadili kuhusu Imani Yetu.
Naomba kuuliza, je ni nani amewahi kuthibitisha haya mambo tunayoambiwa kwenye dini na taratibu ambazo dini imetaka tuamini?Upagani ni dini inayoamini vitu ambavyo siyo Mungu.
Kuna nyie msioamini Mungu na sisi tusioamini mizimu. Hizo ndo dini.
😅TawileNirudi zangu uru shimbwe nikatambikie mizimu ya kwetu,,
Ni ujinga tu, sioni tofauti kati ya vitabu vya dini na ngoswe penzi kitovu cha uzembe.Naomba kuuliza, je ni nani amewahi kuthibitisha haya mambo tunayoambiwa kwenye dini na taratibu ambazo dini imetaka tuamini?
Walioandikwa kwenye vitabu vya dini ndiyo wanaothibitisha. Kamuulize Petro na Yohana.Naomba kuuliza, je ni nani amewahi kuthibitisha haya mambo tunayoambiwa kwenye dini na taratibu ambazo dini imetaka tuamini?
Michezo ya futuhi hiyo, stuka mkuu, mjini mipangoHivi kwanini baadhi ya madhehebu huombea watu na kulipuka mapepo wengn kama wakatoliki hawalipuki
Siku ya umauti wako, utafukiwa kama kuku aliyekufa kwa kideri
Kwaiyo mnaomwamini yesu hamtaishiwa pumzi?Acha ujinga ipo siku utajua Mungu amekuumba utakapokosa hiyo pumzi
Kwa maiti haina shida, ila kwa watakao simamia uzikaji/ ndugu itakuwa changamotoKwaiyo mnaomwamini yesu hamtaishiwa pumzi?
Kwanini mkuu michezo gani tena?Michezo ya futuhi hiyo, stuka mkuu, mjini mipango
Aise naheshimu sana wafia dini ila logically naona kufanya kama wao ni ujingaDini,ushirikina,majini vyote ni matokeo ya watu dhaifu kifikra i mean wengi wao watumia hisia
Dini it's fake can someone explain about heaven or hellWalioandikwa kwenye vitabu vya dini ndiyo wanaothibitisha. Kamuulize Petro na Yohana.
Hamna utofauti Mkuu hamna Cha kitabu takatifu udhaifu wa mwanadamu tena wengi upo kwenye akiliNi ujinga tu, sioni tofauti kati ya vitabu vya dini na ngoswe penzi kitovu cha uzembe.
Sawa siutaona kama Mungu yupo utaona kama hayupo hutaonaKwaiyo mnaomwamini yesu hamtaishiwa pumzi?
Waafrika ndo tumezidi ujinga. Yaani walotuletea dini wapo bize kutafuta utajiri africa, wakati waafrica wenyewe tupo bize kumtafuta mungu na uzima wa milele.. ni useng* tuHamna utofauti Mkuu hamna Cha kitabu takatifu udhaifu wa mwanadamu tena wengi upo kwenye akili