Wasioamini katika dini tukutane hapa!!

Wasioamini katika dini tukutane hapa!!

Waafrika ndo tumezidi ujinga. Yaani walotuletea dini wapo bize kutafuta utajiri africa, wakati waafrica wenyewe tupo bize kumtafuta mungu na uzima wa milele.. ni useng* tu
😅😅Hivi wachina hawataingia mbinguni
 
Chapu kwa haraka mzee wangu 😂
😅Dah aise sijawahi kuamini hivi vitu kabisa ingawa vipo.
Hivi ni kwanini wafia dini wengi ukijaribu kuwauliza maswali kuhusu dini na Imani wanakwepa na kukupa reference ya Vitabu kama bibilia which don't contain actual fact ya maswali??
 
Ndiyo silaha pekee wanayotumia kukuthibitishia upo wrong kwakua vimeandikwa basi ukienda against uonekane muongo
 
Unaweza usiamini hizi dini kama Ukiristo au uislam ila ukaamini Mungu yupo/ higher power above all. Au sivyo?
Dini ya kweli ni ukristo (injili) na mungu kweli yupo ila siyo huu ukristo uliopo leo duniani...
 
Ndiyo silaha pekee wanayotumia kukuthibitishia upo wrong kwakua vimeandikwa basi ukienda against uonekane muongo
Truth can be verified by research only and see things Sasa u ajaribu kudanganya mtu masuala ya Nuhu wakati ni uongo
 
Back
Top Bottom