Malaika Gabrieli
JF-Expert Member
- May 28, 2020
- 3,556
- 6,689
Yesu asifiwe.Walokole bhana,nimeuliza swali,badala ya kujibu swali langu umekuja na hii porojo ndefuuu ambayo wala haihusiani na swali langu,
Kama huna jibu potezea,usiharibu uzi wa watu.
😅😅Wafia diniWalokole bhana,nimeuliza swali,badala ya kujibu swali langu umekuja na hii porojo ndefuuu ambayo wala haihusiani na swali langu,
Kama huna jibu potezea,usiharibu uzi wa watu.
😅Ujinga sana bro, 90% ya Mafanikio hayahusiani na Imani tunazozionaWatz aenginwanaenda kanisani wakiogopa eti siku wakifa hawatazikwa🤣🤣🤣🤣
Ungese mtupu wengi imani yao ni ya kinafiki tuu.
Mungu wa ukweli ni yule wa wajapan tuu wengine hamna kitu
Hawa watu ndio Mungu ndio maana mkisoma mnasema Mungu anasema ....Imeandikwa na wavuvi, walimu, nanabii na kadhalika...
Biblia si kazi ya mwandishi mmoja bali ni mkusanyo wa vitabu 66 vilivyoandikwa na watu mbalimbali kwa muda mrefu. Kimapokeo, waandikaji wa kibinadamu wapatao 40 wanadaiwa kuandika vitabu vya Biblia, na mchakato huo ukifanywa kwa muda wa miaka 1,500 hivi.
Ingawa vitabu vingi vinahusishwa na watu maalum, kama vile Musa kwa vitabu vitano vya kwanza vya Agano la Kale (Pentatiki), Mfalme Daudi kwa Zaburi nyingi, na Mtume Paulo kwa barua nyingi za Agano Jipya, uandishi wa baadhi ya vitabu unajadiliwa kati ya wasomi.
Kwa mfano:
Vitabu vitano vya kwanza vya Biblia—Mwanzo, Kutoka, Mambo ya Walawi, Hesabu, na Kumbukumbu la Torati—vinasemekana viliandikwa na Musa. Walakini, wasomi wengine wa kisasa wanapendekeza kuwa ziliandikwa na waandishi wengi na kukusanywa kwa wakati.
Nyingi za Zaburi zinatajwa kuwa ni za Mfalme Daudi, lakini nyinginezo zinahusishwa na waandishi tofauti kama vile Asafu, wana wa Kora, na Sulemani.
Katika Agano Jipya, Injili zinahusishwa na Mathayo, Marko, Luka, na Yohana. Luka pia anahesabiwa kuwa ndiye aliyeandika Kitabu cha Matendo.
Paulo Mtume anaaminika kimapokeo kuwa aliandika barua 13 za Agano Jipya.
Kristo siyo dini, Ukristo ni dini.Huoni hapo unakuwa tayari unaamini kwenye Dini ya Kikristo?
Sawa, mfia diniNinamwamini Mungu mumoja, Baba Mwenyezi,
Muumba wa mbingu na dunia,
na vitu vyote vinavyoonekana na visivyoonekana.
Ninamwamini Bwana mumoja, Yesu Kristo,
Mwana wa pekee wa Mungu,
amezaliwa na Baba mbele ya kuwa ulimwengu,
Mungu kutoka Mungu, Nuru kwa Nuru,
Mungu kweli kwa Mungu kweli,
amezaliwa, hakuumbwa,
Mwenye umungu mumoja na Baba.
Vitu vyote viliumbwa naye.
Alishuka toka mbinguni,
kwa ajili ya sisi watu,
na kwa ajili ya wokovu wetu;
alitwaa mwili kwa tendo la Roho Mutakatifu,
katika Bikira Maria,
akawa mutu.
Akasulibiwa kwa ajili yetu,
wakati wa Pontio Pilato,
akateswa, akazikwa,
Akafufuka kisha siku tatu,
kama ilivyoandikwa;
akapanda mbinguni,
anakaa kwa mukono wa kuume kwa Baba.
Ndipo atarudi kwa utukufu,
kuwahukumu wazima na wafu,
na ufalme wake hautakuwa na mwisho.
Ninamwamini Roho Mutakatifu,
Bwana na Mutoa uzima,
aliyetoka kwa Baba na Mwana,
anayeabudiwa na kutukuzwa,
pamoja na Baba na Mwana,
aliyesema kwa manabii.
Ninaamini Kanisa, moja, takatifu, katolika,
lililotoka kwa Mitume.
Ninasadikia ubatizo mumoja
kwa kuondolewa kwa zambi.
Ninangojea ufufuko wa wafu
na uzima wa milele utakaokuja. Amina.
Tukizeeka bila ya billion 700 nitakulaumu sana kwa kuharibu dili🤣Ngoja ninyamaze nisiharibu mradi 😅😅
Mimi si Mpagani.Ni kweli kwani wewe ni mpagani??
Namwamini Mungu Baba MwenyeziNinamwamini Mungu mumoja, Baba Mwenyezi,
Muumba wa mbingu na dunia,
na vitu vyote vinavyoonekana na visivyoonekana.
Ninamwamini Bwana mumoja, Yesu Kristo,
Mwana wa pekee wa Mungu,
amezaliwa na Baba mbele ya kuwa ulimwengu,
Mungu kutoka Mungu, Nuru kwa Nuru,
Mungu kweli kwa Mungu kweli,
amezaliwa, hakuumbwa,
Mwenye umungu mumoja na Baba.
Vitu vyote viliumbwa naye.
Alishuka toka mbinguni,
kwa ajili ya sisi watu,
na kwa ajili ya wokovu wetu;
alitwaa mwili kwa tendo la Roho Mutakatifu,
katika Bikira Maria,
akawa mutu.
Akasulibiwa kwa ajili yetu,
wakati wa Pontio Pilato,
akateswa, akazikwa,
Akafufuka kisha siku tatu,
kama ilivyoandikwa;
akapanda mbinguni,
anakaa kwa mukono wa kuume kwa Baba.
Ndipo atarudi kwa utukufu,
kuwahukumu wazima na wafu,
na ufalme wake hautakuwa na mwisho.
Ninamwamini Roho Mutakatifu,
Bwana na Mutoa uzima,
aliyetoka kwa Baba na Mwana,
anayeabudiwa na kutukuzwa,
pamoja na Baba na Mwana,
aliyesema kwa manabii.
Ninaamini Kanisa, moja, takatifu, katolika,
lililotoka kwa Mitume.
Ninasadikia ubatizo mumoja
kwa kuondolewa kwa zambi.
Ninangojea ufufuko wa wafu
na uzima wa milele utakaokuja. Amina.
Tit for tat is a fair gameWaafrika ni washenz maradufu
amuelekeze huyo.. kanaonekana kameanza kuvuta bange..Wasioamini dini sio wapagani(pagans) bali ni Atheists, pia kutokuamini dini sio aina ya imani. Hakuna imani ya watu wasioamini dini.
Tuanze dini ni Nini, Kisha waamini ni wapi baada ya kuzitambua DiniWapagani wenzangu, habari za jioni. Karibuni tujadili kuhusu Imani Yetu.
How do live in the society bro 1% of 1000Mimi si Mpagani.
Dhana nzima ya Upagani ni dhana ya kibaguzi iliyoenezwa na wakoloni, hususan Wakristo, wakizikataa dini za watu wengine kuwa za kishenzi, wakaziita za Wapagani. Na hata kwao Ulaya dini zao za kabla ya Ukristo ziliitwa Upagani.
Kwa hivyo, dini za asili za watu wa Africa, au hata za watu wa Ulaya zilizokuwapo kabla ya Ukristo, ziliitwa Upagani.
Ukielewa hilo, utaelewa kuwa Upagani kwanza si kutokuwa na dini, na pili, ni neno la kutenga watu kudogosha dini zao za asili kuziona za kishenzi.
Watu wengi wanachanganya kutokuwa na dini au imani ya Mungu, kwa maana ya atheist, wanawaita atheists Wapagani.
Kwa maana hiyo, mimi ni atheist, sina dini, siamini Mungu, lakini si Mpagani.
Dini ni mfumo wa imani, mafundisho, na mazoea ambayo binadamu hutumia kuhusiana na Mungu, miungu, au nguvu ya kiroho, na mara nyingi hujumuisha kanuni za maadili na sheria za kuongoza maisha.Tuanze dini ni Nini, Kisha waamini ni wapi baada ya kuzitambua Dini
Malaika hapa umepigaje mzeeKristo siyo dini, Ukristo ni dini.
hivi sadaka zetu zinaendaga wapi?Malaika hapa umepigaje mzee
Huwa tunaambiwa zinatumiwa na wahitajihivi sadaka zetu zinaendaga wapi?