Wasimuliaji wenye sauti nzuri sana, na zenye mvuto

Jamani Mama Nairo ni kiboko...............achana na sauti yake akiigiza kuongea kimasai mtoto anasauti ndege mnana anasubiri.
Veronica Frank Shikamoo mama nakumiss Alama za Nyakati.........Lizzy anajitahidi ila kapooza na anavuta na kubania muda.......
 
Hao wote Mi siwafahamu sema kuna mtu wa kuitwa Mjomba Ramso kibongobongo anatokea Keko Mwanga,Huyo jamaa Magetoni akitoa Stori na Sauti yake hatulali mpaka mida mibovu na kesho yake tunaenda Msebenzini.
 
Back
Top Bottom