Wasimamizi wa mirathi ya Mengi wagoma kuhudumia watoto, waburuzwa mahakamani

Mwanaume sio fala Mkuu anajikinga kila anapopita anajua mbegu zake zinawindwaDunia Ina mambo kule Abdiel anapotaka azaliwe Mwanamke hakubali
Daah sasa ataishi bila familia mpka lini,dada nae hana mtoto...mengi hakuona wajukuu mpka kifo kimemchukua
 
Sana sana sana. Na ndo wanWakamata kiulaini mzee. Yaan hata leo hii nikaolewa na bilionea, yaan kitu ambacho sijakichangia hakijanitoa jasho. Naamini katika mafundisho ya dini yaliyonilea aisee. Na Mungu aninyine hiyo tamaa. Na hapa naiangalia familia yangu kwa baba ni extended balaa. Mzee akaanguka leo halaf nisikie fala mmoja anagombania mali. Namla na risasi. Hujazitafuta unaumia nn. Tabia mbaya sana. Tamaa ni mzizi wa dhambi

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
yaani we km mimi,tena namuomba Mungu anisaidie
Sie tuliozaliwa ndani ya ndoa na kuna wengine nje ni balaa!
Yaani mi mpk nilirudi home kimkakati kuweka mambo vzr maana ndio 1st born, ndo baba litokee la kutokea hapa halafu nimuone mtu ananyua ngwala zake ,hataamini kitakachomtokea!
Eti mwanamke amezaa na baba sijui nn! Shenzi kabisa hawa!
Ndo maana siwaelewi wanaotetea huu ujinga,ngoja waolewe yawakute!
 
Back
Top Bottom