Wasifu wa Mbunge wa Nzega Mjini, Hussein Bashe

Wasifu wa Mbunge wa Nzega Mjini, Hussein Bashe

Ccm mpya inahitaji watu 10 ambao ni kama bashe lakini wasiwe mawaziri namkumbuka filikunjombe (kangi lugola;msukuma; ally kessy
 
Apewe kawizara tupime utendaji wake, kuongea si vitendo wahenga walinena hivyo. Vipi vijana wake jimboni anawasimamiaje ktk harakati za kujitambua, maendeleo, elimu nk. Ikumbukwe mbunge ni mjumbe muhimu ktk baraza la halimashauri, na hili ndilo injini ya maendeleo ktk halimashauri yoyote ile.

Wabunge wetu tuwapime majimboni, jinsi wanavyosimamia, kuibua, kusapoti wale waliomchagua. Namkubali kama mbunge, anawakilisha vyema sana. Ila sijajua kama "kiongozi" jimboni mwake anawafanyia nini wananchi.

NB: Hapa simaanishi kutoa misaada ya kifedha, hilo si jukumu lake, akitoa ni kwa mapenzi tu na ziada ya kazi yake, anahakikishaje kupitia kuwa mbunge, kiongozi, watu wake wananufaika nae ktk kujua na kupenda elimu, kujijengea miundombinu yake, kuibua miradi kwa vijana, wakinamama nk wajitambue hata akifa apatikane Bashe mwingine nk.
 
Yuko mweshimiwa mmoja anaitwa Njalu, jimboni anajitaidi sana. Namkubali. Nadhani hata elimu kwa wananchi inapanda, vikundi vya uzalishaji vimeongezeka, viwanda vidogovidogo vinaanzishwa, shule zinajengwa, zahanati, barabara nk na nyingi ni kwa kushirikisha nguvu za wananchi wake.
 
Mtu mzima
Hakuna Mtu mzima au kipande sijui kijana,ni wazungu ndo wanatuchezesha akili na kalenda zao.Ukweli ni kwamba mwili unachoka na si kuzeeka,yaani kama gari alizeeki Bali linachoka, ndivyo ulivyo mwili.Wengine watasema kuchoka ndio kuzeeka hilo si abadani.Najaribu kuwaza kwa sauti.
 
Bashe anajiamini
Anajua nin maana ya kuwa mbunge.
Wabunge wengi wa ccm waoga,wanafiki na hawajielewi.
Huwa wanaomba kura kwa wananchi,wakifika bungeni wanasahau aliewatuma!
 
Hakuna Mtu mzima au kipande sijui kijana,ni wazungu ndo wanatuchezesha akili na kalenda zao.Ukweli ni kwamba mwili unachoka na si kuzeeka,yaani kama gari alizeeki Bali linachoka, ndivyo ulivyo mwili.Wengine watasema kuchoka ndio kuzeeka hilo si abadani.Najaribu kuwaza kwa sauti.
Noted
 
dah nimeota kapewa wizara mwaka wa fedha 2017/2018 in god we trust........
 
Back
Top Bottom