GREGO
JF-Expert Member
- Apr 3, 2014
- 4,282
- 2,940
siku zote hautapendwa na watu ukiwa mkweli inabdii uwe msanii utakubalika na kila mtu dunia imekwisha mkuu watenda mema ni wachache sanaHivi kwanini wanasiasa huwa wanamchukia mtu anayesema ukweli?
now ni lecturer out universityMbiki Msumi???? Hongera zake
Kwel kabsa mkuuTatizo ni kwamba
- Mawazo yake hayapokelewi na kufanyiwa kazi na watendaji
- Anachukuliwa kama threat badala ya brain
- Akipewa post ...anapigwa Tanganyika jeki na utendaji unaanzia hapo kunafifia
Hilo ni jambo la muoaji na muolewaji mkuu wanguKwahiyo hata ikitokea akitaka kuchumbia na kuoa katika Familia yenu / yako utatoa ushirikiano wako wa kutukuka Mkuu?
Ni kama alivyokuwa ester bulaya kipnd yupo ccmBashe ni mbunge wa CCM pekee mwenye akili zake.
wengine wote ni fa fa fa fa fa.
Campus kuu ya dar? Maana wale si huwa wanakuja mikoani kutoa shulenow ni lecturer out university
Dar BiAfra, but kama ulivyosema wanakuja sana mikoanCampus kuu ya dar? Maana wale si huwa wanakuja mikoani kutoa shule
Hebu we kilaza tuambie uzee unaanzia miaka mingapi?Hivi mtu aliyezaliwa 1975 bado ni kijana?
Bashe ni mbunge wa CCM pekee mwenye akili zake.
wengine wote ni fa fa fa fa fa.