David Jairo
New Member
- Sep 13, 2011
- 3
- 0
asikusumbue hana hoja za maana,tupo nae pale mzumbe, kwa kifupi jamaa ni kibaraka wa management ya chuo.hata pale chuoni si mmoja ya wapambanaji wanaosukuma agenda za chadema. anatafuta kick. ni mmoja wa vijana wanaounda mtandao wa PM7. cha kujiuliza kwanini anaibuka sasa? ukisoma waraka wake uliojaa siasa mufilisi utabaani upeo wake mdogo