Wasifu wa GRAYSON NYAKARUNGU...

Wasifu wa GRAYSON NYAKARUNGU...

hebu tuache kuwapa sifa wapumbavu............ the boy doesnt deserve any attention, he has nothing to show in his scorecard
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Uchaguzi wa Mwenyekiti wa Baraza la Vijana Chadema Taifa (Bavicha), umemalizika kwa kumchagua John Heche (pichani) kuwa mwenyekiti mpya wa baraza hilo, ambaye anamrithi Mbunge wa Ubungo kupitia chama hicho, John Mnyika.
Alichaguliwa usiku wa kuamkia jana katika mchuano mkali wa uchaguzi huo uliofanyika viwanja vya PTA Sabasaba jijini Dar es Salaam.
Heche ameshinda kwa kupara kura 143 kati ya kura 264.
Wagombea waliopitishwa na Kamati Kuu kuwania nafasi hiyo walikuwa tisa lakini watatu kati yao walienguliwa na kamati ya wazee kwa tuhuma za rushwa na kujenga makundi.
Makamu Mwenyekiti kwa upande wa bara amechaguliwa Juliana Shonza kwa kupata kura 115 kati ya kura 214, wakati Makamu Mwenyekiti Zanzibar amechaguliwa Sharifa Hamis kwa kupata kura 170 kati ya kura 265.
Mjumbe wa Baraza Kuu Zanzibar amechaguliwa Zainab Bakari aliyepata kura 180 kati ya kura 263 na kwa upande wa Tanzania bara waliochaguliwa kuingia kwenye Baraza Kuu la Bavicha ni Alex Mushi kura 80, Edward Kinabo 96, Frank Fumpa 66 na Sabrina Sungura ambaye ni Mbunge wa Viti Maalum aliyepata kura 109.
Msimamizi wa uchaguzi huo, Mabere Marando, alisema jana kuwa alitangaza matokeo hayo jana saa 12:00 asubuhi kwani shughuli nzima ya uchaguzi huo ilifanyika usiku kucha.
Alisema walipitishwa na Kamati Kuu kuwania nafasi ya mwenyekiti walikuwa tisa lakini kutokana na mienendo ya rushwa na vitendo visivyo vya kimaadili waliamua kuwaengua wagombea watatu.
Aliwataja wagombea walioenguliwa kuwa ni Grayson Nyakarungu kutoka Serengeti, Bernard Saanane wa Kilimanjaro na Metali Mwampamba, ambao alisema waligundulika kukiuka maadili.
"Kamati Kuu ilipitisha majina tisa lakini ilitupa madaraka ya kukata majina ya watu ambao mienendo yao tutaona haifai, kamati hiyo ya wazee watatu, mimi, Edwin Mtei na Bob Makani, sasa tulifanya uchunguzi na kuwahoji baadhi ya wagombea tuliohisi wanafanya kampeni chafu na tukajiridhisha ndo maana tukawaondoa," alisema.
Alisema baadhi ya wagombea walikuwa wakifanya kampeni katika hoteli mbalimbali jijini Dar es Salaam na kuunda makundi ambayo alisema yalikuwa hatari kwa umoja wa chama hicho.
Akizungumza na NIPASHE mara baada ya kuchaguliwa, Heche alisema baraza lao lina mikakati ya kupigania haki, kupinga rushwa na kulinda haki za Watanzania.
Alisema wiki ijayo litaundwa Baraza la vijana kwa kuungana na wajumbe wa baraza kuu la Chadema.
Alisema ni mara yao ya kwanza kuunda Baraza la Vijana na kwamba watahakikisha wanakuwa mfano kwa taifa kutetea haki za wanyonge.
Mwenyekiti huyo alisema atashirikiana na wananchi katika nafasi hiyo ili kutimiza malengo yenye manufaa kwa jamii nzima.

SOURCE: NIPASHE 2011

1471176_592975124082879_710340165_n.jpg

1475930_592974860749572_1482044518_n.jpg
Wasaliti kumbe huwa hawana aibu, wanajipanga kupiga picha baada ya vikao vyao hotelini. Dk. Mkumbo Chadema ikisambaratika kwa sababu ya u*ji*nga* wako wa kumuandaa Zitto kinyume na matakwa utalaaniwa sana. Hatujawahi hata kukuona unapigwa bomu moja katika kupigania chama, hesabu watu waliokufa, waliofungwa, bado kuna wengine kule ndago kwenu wamefungwa kwa sababu yako leo unawasaliti unaendelea na mikakati ya pamoja na mwigulu unatuhadaa unapambana naye. Vikao vyako unaandaliwa na Mwampamba heri zitoo anatuhumiwa siku nyingi kuwa msaliti, ila inaelekea mnajuana.
 
Uchaguzi wa Mwenyekiti wa Baraza la Vijana Chadema Taifa (Bavicha), umemalizika kwa kumchagua John Heche (pichani) kuwa mwenyekiti mpya wa baraza hilo, ambaye anamrithi Mbunge wa Ubungo kupitia chama hicho, John Mnyika.
Alichaguliwa usiku wa kuamkia jana katika mchuano mkali wa uchaguzi huo uliofanyika viwanja vya PTA Sabasaba jijini Dar es Salaam.
Heche ameshinda kwa kupara kura 143 kati ya kura 264.
Wagombea waliopitishwa na Kamati Kuu kuwania nafasi hiyo walikuwa tisa lakini watatu kati yao walienguliwa na kamati ya wazee kwa tuhuma za rushwa na kujenga makundi.
Makamu Mwenyekiti kwa upande wa bara amechaguliwa Juliana Shonza kwa kupata kura 115 kati ya kura 214, wakati Makamu Mwenyekiti Zanzibar amechaguliwa Sharifa Hamis kwa kupata kura 170 kati ya kura 265.
Mjumbe wa Baraza Kuu Zanzibar amechaguliwa Zainab Bakari aliyepata kura 180 kati ya kura 263 na kwa upande wa Tanzania bara waliochaguliwa kuingia kwenye Baraza Kuu la Bavicha ni Alex Mushi kura 80, Edward Kinabo 96, Frank Fumpa 66 na Sabrina Sungura ambaye ni Mbunge wa Viti Maalum aliyepata kura 109.
Msimamizi wa uchaguzi huo, Mabere Marando, alisema jana kuwa alitangaza matokeo hayo jana saa 12:00 asubuhi kwani shughuli nzima ya uchaguzi huo ilifanyika usiku kucha.
Alisema walipitishwa na Kamati Kuu kuwania nafasi ya mwenyekiti walikuwa tisa lakini kutokana na mienendo ya rushwa na vitendo visivyo vya kimaadili waliamua kuwaengua wagombea watatu.
Aliwataja wagombea walioenguliwa kuwa ni Grayson Nyakarungu kutoka Serengeti, Bernard Saanane wa Kilimanjaro na Metali Mwampamba, ambao alisema waligundulika kukiuka maadili.
“Kamati Kuu ilipitisha majina tisa lakini ilitupa madaraka ya kukata majina ya watu ambao mienendo yao tutaona haifai, kamati hiyo ya wazee watatu, mimi, Edwin Mtei na Bob Makani, sasa tulifanya uchunguzi na kuwahoji baadhi ya wagombea tuliohisi wanafanya kampeni chafu na tukajiridhisha ndo maana tukawaondoa,” alisema.
Alisema baadhi ya wagombea walikuwa wakifanya kampeni katika hoteli mbalimbali jijini Dar es Salaam na kuunda makundi ambayo alisema yalikuwa hatari kwa umoja wa chama hicho.
Akizungumza na NIPASHE mara baada ya kuchaguliwa, Heche alisema baraza lao lina mikakati ya kupigania haki, kupinga rushwa na kulinda haki za Watanzania.
Alisema wiki ijayo litaundwa Baraza la vijana kwa kuungana na wajumbe wa baraza kuu la Chadema.
Alisema ni mara yao ya kwanza kuunda Baraza la Vijana na kwamba watahakikisha wanakuwa mfano kwa taifa kutetea haki za wanyonge.
Mwenyekiti huyo alisema atashirikiana na wananchi katika nafasi hiyo ili kutimiza malengo yenye manufaa kwa jamii nzima.

SOURCE: NIPASHE 2011

Ili bandiko ni zaidi ya CV. Kumbe na yeye alikuwa kati ya wale waliopewa pesa na ccm ziwasaidie kuonga ili kupata nafasi za uongozi? No wonder anaendelea kutumika kama ko.....om.

Tiba
 
Huyu Jamaa alisha fukuzwa pamoja na kina shinza etc. naona dala dala limepata abiria wengine (zzt , mkumbo etc).Naona wamepata dereva
 
Nyakarungu ni nesi mchumia tumbo.
Katika mijitu ya kipumbavu huyo yupo

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums

yuko sawa na wewe tena yy ana maana kuliko ww
 
Maono ya kina mzee mtei ni makali sana...kumbe kikundi kile cha usaliti kilijulikana mapema sana
 
Huyu Jamaa alisha fukuzwa pamoja na kina shinza etc. naona dala dala limepata abiria wengine (zzt , mkumbo etc).Naona wamepata dereva

chadema ni marehemu aliyeko mazikoni, r.i.p
 
Kielimu ni mwanafunzi wa chuo kikuu mzumbe mwaka wa tatu..kozi yake ni HSM/bachela na pia Ni spika wa bunge.
Cha kuongezea ni classmate wangu

Acha uongo wewe.......si kweli, labda mzumbe kaenda mwaka huu. Ni nesi alikuwa Mwanza Halmashauri akawa anadanganya watu ni Daktari, lkn ni mganga njaa anayeweza kununuliwa hata kwa bei rahisi, hana kipato
 
Huyu Jamaa alisha fukuzwa pamoja na kina shonza etc. naona dala dala limepata abiria wengine (zzt , mkumbo etc).Naona wamepata dereva
 
Atakuwa mlamba miguu ya wabakaji huyo mchumia tumbo,huku kwetu majitu kama yeye huwa tuyatamani sana,nikuyakabang tu
 
Kama anatokea musoma ni mtoto wa nyumba ntobhu kama jaji werema,

Kwa hiyo wote wanaotokea Musoma ni watoto wa nyumba ntobhu.??? HUU NDO UKABILA ULIOSABABISHA KENYA WACHAPANE,, by the way,,nyumba ntobhu ni sehemu ya mila na tamaduni zetu. Hatuoni haya kwa hilo,,,sisi sio wafuata mila na tamaduni za kigeni.

USIMPIME MTU UWEZO WAKE KUTOKANA NA KABILA LAKE AU TAMADUNI ZAKE...ELIMIKA JITAMBUE,,,SITAKI HATA KUJUA WEWE KABILA GANI AKILI ZA MATOPE
 
Walevi utawaona na walevi wenzao, kumbe hata waasi nao na waasi wenzao.

Chadema si kijiwe cha kujifanyia unacho taka.. kama hutaki acha.. hulazimishwi. acha kusingizia eti mnataka mabadiliko, kama ni ivo si mbadilike kwanza nyie , yenu yamewashinda mnataka na yetu pia.. anzeni zenu mkafungue hata bendi ya mziki wa dance pengine mtavuma.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom