Tabutupu
JF-Expert Member
- Nov 26, 2010
- 13,262
- 18,706
Ahaaaaaa!! Hata sura anaonekana kweli ana njaa
Zito kupitia sakata hili ndio amajulikana rangi yake,
Ahaaaaaa!! Hata sura anaonekana kweli ana njaa
Namuona mzee wa ku-like ana-like tu kama kawaida! tehetehe! THE BIG SHOW
nimecheka hadi basi. Yaani huyu nyakarungu na werema ni results ya nyumba ntobi? Hii kali.
Tiba
Unataka ukammwagie tindikali..
Kielimu ni mwanafunzi wa chuo kikuu mzumbe mwaka wa tatu..kozi yake ni HSM/bachela na pia Ni spika wa bunge.
Cha kuongezea ni classmate wangu
Acha uongo wewe.......si kweli, labda mzumbe kaenda mwaka huu. Ni nesi alikuwa Mwanza Halmashauri akawa anadanganya watu ni Daktari, lkn ni mganga njaa anayeweza kununuliwa hata kwa bei rahisi, hana kipato
Ni mdudu fulani mwenye njaa muda wote,ukiingia facebook utaona post zake nyingi ni za kumsifia Kikwete na kuiponda Chadema,afu nae anajiita mwana CDM kama ZZK!njaa tupu huyo,angalia hata bandiko lake utamuelewa ni mtu mwenye upeo gani
Wewe jamaa kweli mwehu,nakueleza ni spika wa bunge wa chuo kikuu mzumbe tena ni classmate wangu,mwezi wa saba mwakani anamaliza degree yake ya BHSM. Sasa unachokataa nini hapo,wewe kama unachukuki nae binafsi sema, lakini kwenye ukweli sisi tunasema.
Huyu bwana hapa chuoni ni maarufu sana, alikuwa anataka kugombania uraisi mwaka 2012 lakini alifanyiwa mizengwe kwasababu ya u-cdm wake,na kama ungefanikiwa kwenye mchujo, lazima angekuwa rais wa MUSO(Mzumbe University Student Organisation).
Kwa hiyo chadema yeye ni kama nani?
Ni Spika wa Bunge la wanafunzi Mzumbe......the teh teh,........eti hawa ndio mastrategist wa mkakati.........
Anasoma yale masomo ya tuition nini? kwa taarifa yako namfahamu vyema na unayekoment itakuwa ni wewe mwenyewe Nyakarungu hata andika yako ni ile ile. So kataa, hujawahi kuwa nesi? ama niweke picha zako ukiwa nesi?
Wanyakyusa wanasema"uju ndema"
alikuwa anajiita dokta wakati yeye ni clinical officer
Kama anatokea musoma ni mtoto wa nyumba ntobhu kama jaji werema,
Ni yeye Mkuu nimemcheki hapa kwenye Finger Print....
Nimegundua watu wanachuki binafsi na Zito,hawataki ukweliii:vijana Wachadema si walisema Shibuda aliwaambia kipindi kile kesi ya Ugaidi,Waseme wametumwa na Mbowe na Slaa,ukitaka kujua ni unafiki wa kina Kileo na wenzao ndo huu,kwa akili ya kawaida kama yale maneno yana ukweli nani anakigawa CHAMA?????????
Tuache UNAFIKI
Samahani lakini,nirudi katika waraka nimeusoma huu waraka mara nyingi,sioni tatizo,zaidi ya kuwa na mambo mazuri kwa Chadema yenye afya kama yatafanyiwa kazi,bila hata Zito kuwa kiongozi,mimi kutoka Moyoni nataka Slaa na Mbowe waondoke katika Uongozi,pia Zito asiwe kiongozi wote wabaki kuwa washauri na wajumbe
Nakubali Zitto Kabwe ana Udhaifu wake lakini Mbowe na Slaa sio Malaika!
Swali kwa Wadau maana huu waraka tumejadili kihisi kumuhusu Zitto wakati yeye ajauandaa,Je ikitokea ukakamatwa waraka unamuhusisha Mbowe kutaka kusiwe na Ukomo katika nafasi ya Uenyekiti je mbowe achukuliwe Hatua gani????