Wasifu wa GRAYSON NYAKARUNGU...

Wasifu wa GRAYSON NYAKARUNGU...

Chinga One

JF-Expert Member
Joined
May 7, 2013
Posts
11,493
Reaction score
12,453
Makamanda samahani jamani sina nia ya kumpaisha huyo bwana Nyakarungu ndie nani haswaa? ana wadhifa gani chadema? mwenye CV yake atuwekee hapa tupate kumjua mi binafsi hata simjui na sijawahi kumsikia ndio kwanza leo nasikia anatangaza uasi......

AMA KWELI DUNIA INA VIUMBE WENGI.
 
Mi nakumbuka nilisoma nae milambo sec. huko Tabora miaka flan hv after that sijui alianza vp siasa.jamaa anaharibu sana hii move.
 
Makamanda samahani jamani sina nia ya kumpaisha huyo bwana Nyakarungu ndie nani haswaa? ana wadhifa gani chadema? mwenye CV yake atuwekee hapa tupate kumjua mi binafsi hata simjui na sijawahi kumsikia ndio kwanza leo nasikia anatangaza uasi......

AMA KWELI DUNIA INA VIUMBE WENGI.

ni muhuni flani wa zzzzzk akilipwa 2000 tu anakaa jf mpka asubuhi; chmia tumbo ya cccccm
 
1471176_592975124082879_710340165_n.jpg

1475930_592974860749572_1482044518_n.jpg
 
Ni mdudu fulani mwenye njaa muda wote,ukiingia facebook utaona post zake nyingi ni za kumsifia Kikwete na kuiponda Chadema,afu nae anajiita mwana CDM kama ZZK!njaa tupu huyo,angalia hata bandiko lake utamuelewa ni mtu mwenye upeo gani
 
nimemwona akibwabwaja kweye tv
naona anajitafutia promo
 
jamani msaidieni mwenzio michango kidogo , si mlisikia MI anawaombea michango ?
 
Ni muimbaji wa LEKA TUTIGITE lile kundi aliloasisi ZITTO na ndio atakuwa mwenyekiti wao akifukuzwa CHADEMA
 
Nyakarungu ni nesi mchumia tumbo.
Katika mijitu ya kipumbavu huyo yupo

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Kielimu ni mwanafunzi wa chuo kikuu mzumbe mwaka wa tatu..kozi yake ni HSM/bachela na pia Ni spika wa bunge.
Cha kuongezea ni classmate wangu

Kwa hiyo chadema ni yeye ni kama nani?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom