King’asti
Platinum Member
- Nov 26, 2009
- 27,823
- 24,786
Batilda ni mtu wakaribu ki unyumba na EL na pia amewekwa ili kundaa safu(support) ya EL 2015.
Sisi tunaangalia sasa, ila EL anajipanga 2015 kupitia watu aliowaweka, huwezi Amini pale Mtaa wa spea December
alifungua tawi la wakereketwa akawapa rushwa ya 800,000 na ikaliwa na watu 3 tu, wakasema
hela ya mjinga huliwa nawerevu, na hatumpigii. je ni ngapi kama hizo zimeliwa ili kushawishi watu wampigia mta mzima.
hayo yote anayotokea ni kwamba amekuja kugundua ameliwa vya kutosha na sasa anataabika atarudishaje hela zake.
Kifupi mama ni Son of the bitch, means the materia of no commercia value. Sababu kwa mama yake ana watoto 4, yeye akiwa
kwanza mama yake akiwa anafanya Arusha hotel akazaa na mzanzibari asiyejulikana, so hamjui baba yake.
Pili mama yake akaja akazaa na mzungu mtoto wa pila, then mzugu akafukuzwa nchini sababu ya ufisadi. mama yake akaolewa tena
muarusha akazaa watoto wawili eugen na mwingine ambao akama umesikia mgombea arusha anatembea na waizi habari
ndio hio wadogo zake wana bad records ya wizi mkubwa.
habari ndio hio kifupi anavyokulikana bibie batilda.
Triple DDD,tafadhali.Hizi ndo siasa tusizozitaka.Yeye Batilda hakuchagua kuzaliwa na mama yake (kama ni kweli habari hizi),wala hakuchagua kuwa na ndugu waovu. Kama kuna mahali ambapo alitumia nafasi yake kama mbunge au waziri kupindisha haki,unaweza kuzungumzia.Ila habari ya yeye kuwa na baba asiyemjua(kama mama yake ni Mtanzania,inampa haki ya kuwa Mtanzania kama ambavyo Obama ni mmarekani) sidhani kama zinatusaidia hapa.