Elections 2010 Wasifu wa Dr. Slaa: Download, SAMBAZA!

Status
Not open for further replies.

Invisible

Robot
Feb 11, 2006
9,075
7,878
Huu ni ujumbe ambao umetoka kwa Dr. Slaa, endapo utaupenda basi usambaze kadiri unavyoweza.
 

Attachments

  • From_Dr_Slaa.pdf
    337.4 KB · Views: 705
Asante mkuu tayari nimeshasambaza kwa watu wangu wa karibu watano, ila nimeshangaa kwenye ufasaha wa lugha ni kipaji au kitu gani tena amesahau lugha ya tisa ya Ki-Mbulu.

6. Ufasaha katika lugha nane (8)
Dk Slaa anajua kuzungumza na kuandika lugha nane za kimataifa zifuatazo:

Kiswahili, Kiingereza, Kilatini, Kiitaliano, Kijerumani, Kihispania, Kireno na Kifaransa.

9. Kimbulu
 
Kipeperushi ni kizuri lakini kina makosa madogo madogo ya uchapaji yanayoweza kupunguza utamu. Dr. Slaa ni mtu makini sana na anapenda usahihi katika mambo yake. Naomba Mod ukiondoe kwa muda na kuhariri inapowezekana, mfano, neno "umakini" limeandikwa "umaskini".
 
Thanks invisible.
Luteni,Ki-mbulu sio lugha ya kimataifa.Tusubiri rais wetu akiingia madareakani penngine inaweza kupanda chati,Mungu yupo.
 
Dk Slaa anajua kuzungumza na kuandika lugha nane za kimataifa zifuatazo:
Kiswahili, Kiingereza, Kilatini, Kiitaliano, Kijerumani, Kihispania, Kireno na Kifaransa.

Hii kitu imenitisha!!! :)
 
Naomba Mod ukiondoe kwa muda na kuhariri inapowezekana, mfano, neno "umakini" limeandikwa "umaskini".
Mkuu nadhani limeandikwa 'Uamakini'. Hii ni error ambayo nami nimekuja kuiona sasa hivi, lemme contact him (kama atajibu mail)
 
Kumbe huyu jamaa hana degree ya kwanza (Bachelor) na ya pili (Masters? Na sheria anayoijua ni ya kanisa?! Nimeelewa mengi sana yaliyokuwa yanitatiza sasa
 
Kumbe huyu jamaa hana degree ya kwanza (Bachelor) na ya pili (Masters? Na sheria anayoijua ni ya kanisa?! Nimeelewa mengi sana yaliyokuwa yanitatiza sasa
Chagua Mabadiliko,
Mchague Dk Slaa ili arudishe tunu za taifa letu:
Uzalendo, Maadili, Uadilifu na Umakini.


Wenye degree kama akina Chenge, Mramba, Lowassa wamefanyia nini Taifa letu kama siyo kuliingiza kwenye utata wa matatizo?!
 
This is so good.

Kama ingetoka kwenye magazeti pia ingesaidia kufikisha ujumbe kwa raia wengi zaidi wasio na access na internet
 
Huu ni ujumbe safi sana, ila mwambie mheshimiwa atoe pia ambayo imekuwa compressed kwenye page moja au mbili, manake wengine tunawapelekea hardcopies hawana access ya mtandao, tubane matumizi jamani kuprint ni gharama sana kwenye serikali hii ya Kikwete!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom