Lukub
JF-Expert Member
- Feb 5, 2012
- 3,790
- 4,284
Kamishina mkuu wa mamlaka ya ukusanyaji kodi haelewi mzigo wa kodi ya ongezeko la thamani inabebwa na nani mwanafunzi kudato cha NNE anayesoma commerce anajua jibu sahihi.Ni
Tanzania pekee maajabu haya utayaona .Dr Mwakyembe anashangaa ambao hawajamaliza shule kutilia mashaka ufafanuzi wa daktari wa falisafa ,sasa Mimi mtoto wangu japokuwa bado hajamaliza shule anashangaa ufafanuzi wa kamishina HUZUNI kubwa