MAFILILI
JF-Expert Member
- Apr 28, 2011
- 2,377
- 1,200
Ndugu Kidata ni mzaliwa wa wilaya ya Bunda, mkoani Mara, A-Level kasoma HGE Songea Boys High School pamoja na Mheshimiwa Kangi Lugola, akaajiriwa Idara ya Mahakama mkoani Tabora, baadaye akajiunga na UDSM kuchukua BA ya Economics, mwalimu wake akiwa ni Prof. Lipumba, Prof. Benno Ndulu pamoja na Dr. P. Mpango. Baada ya Kumaliza UDSM alijiunga na wizara ya Ardhi idara ya Uchumi na Mipango ambako alijiendeleza kimasomo ya uchumi huko Japan akahitimu Masters Degree, hatimaye akarudi nchini na kushika nyadhifa mbalimbali serikali hatimaye hivi sasa ni Kamishna Mkuu wa TRA. Hivyo anazo sifa za msingi kushika wadhifa alionao pia ni muadilifu sana!!!