Wasifu mdogo(CV) wa Alphayo Kidata

Wasifu mdogo(CV) wa Alphayo Kidata

Watz Kwan kubeza ndio maana rais anaenda kuazima uzalendo rwanda badala kushauri tunabeza,sasa ata uyo mlikuwa mnamhitaji kuwa rais angefanikiwa kwa muda mfupi? Tusipende kubeza kama vile si watz
 
Nina sapoti juhudi za serikali kuongeza vyanzo vya mapato na kodi, lakin naona kuwa jitihada hizi inabid zifanywe kwa ustadi na utaalamu Wa hali ya Juu

Ktk Ulimwengu Wa Globalization kufanya kosa kama alilofanya Mkuu Wa TRA. Its a reflection of us to the world

Commissioner mzima hajui kuwa value added tax inachajiwa kwa final consumer??

Ni kwamba mnavyo introduce hii tax what was ur thinking?? Kama ur thinking was isichajiwe kwa mwananchi then msingesema iwe VAT,ingekuwa tu kodi nyingine ambayo haimgusi final consumer

Na kama mlitaka iwe VAT kama ilivyo VAT kwamba imguse final consumer basi mlipaswa kuwa wazi kwa wananchi,siyo saiv mnachofanya kuwa bembeleza wananchi na kuwachonganisha mabenki na wateja wake.

Had hapo tulipo mabenki yana uwezo Wa kufungua kesi na wakashinda vizuri tu ,kinachofanyika sasa ni ubabe ambao hauangalii utaalaamu

Lakin ndo matunda ya kunyima mijadala Bungeni ,hivyo vtu vinakuja vikiwa vina pumba na mijadala inabidi ifanywe mitandaoni sasa .
 
Ukiona mtu kapewa cheo cha kuwa CEO wa Mamlaka kubwa kama TRA na CV yake haiwekwi wazi ujue tu ni Mtu wa Kwetu Homeboy. I can't understand it appears elimu ya Alphayo na uelewa wa Kodi ni Tatizo. Nashauri aende kuchukua kozi ya wiki mbili pale Mikocheni Tax Institute ndio awe confirmed . He was confirmed kabla ya kujua ABC ya kodi!Sheria haiwezi ku apply retrospectively.It's quite academic as long as its value added tax (VAT) it should be paid by consumers! Banks and Mobile phone companies and all traders are just TRA agents and they aught to be paid some sort of a commission to collect on behalf. Sasa huu uendawazimu wa kukamata watu wasiodai risiti it's another comedy. Hao Wabunge waliopitisha hiyo sheria inabidi tupime akili zao simply because the administration of that is very costly. Just imagine umwage watu madukani at every exit ambao watakuwa wanauliza risiti ili Yule ambaye atakuwa hana ashitakiwe. Katika wanunuzi millions it's a very complicated exercise nafikiri kodi itakayo kusanywa itabidi walipwe hao receipt inspectors and this is not only absurd but almost crazy. Tax should be simple and single digit rate Which encourages compliance. Vinginevyo let us wait and see! Narudia Banks hawezi kulipa VAT bila input. Transaction costs were no taxable per the provisions. Sasa kuwaambia wapunguze cost ya transaction walipe VAT it doesn't make sense! The Governor is absolutely right. Hao comedians wa Bunge and CEO wa TRA might polarize the sick taxation regime further!
 
Kichwa panzi kama wewe unatakiwa ukafungiwe ufipa miaka yote ushinde na Mbowe humo ukimpangusa viatu.

Ukiachwa huku nje unaharibu vizazi Vya Mungu
 
Tusizipi kipaumbele cv za watu maana kwa Taifa la viwango kama hili kila kitu kinapatikana. Werevu au ujinga umtokao mtu ndio kipimo kizuri zaidi.
 
Ukiona mtu kapewa cheo cha kuwa CEO wa Mamlaka kubwa kama TRA na CV yake haiwekwi wazi ujue tu ni Mtu wa Kwetu Homeboy. I can't understand it appears elimu ya Alphayo na uelewa wa Kodi ni Tatizo. Nashauri aende kuchukua kozi ya wiki mbili pale Mikocheni Tax Institute ndio awe confirmed . He was confirmed kabla ya kujua ABC ya kodi!Sheria haiwezi ku apply retrospectively.It's quite academic as long as its value added tax (VAT) it should be paid by consumers! Banks and Mobile phone companies and all traders are just TRA agents and they aught to be paid some sort of a commission to collect on behalf. Sasa huu uendawazimu wa kukamata watu wasiodai risiti it's another comedy. Hao Wabunge waliopitisha hiyo sheria inabidi tupime akili zao simply because the administration of that is very costly. Just imagine umwage watu madukani at every exit ambao watakuwa wanauliza risiti ili Yule ambaye atakuwa hana ashitakiwe. Katika wanunuzi millions it's a very complicated exercise nafikiri kodi itakayo kusanywa itabidi walipwe hao receipt inspectors and this is not only absurd but almost crazy. Tax should be simple and single digit rate Which encourages compliance. Vinginevyo let us wait and see! Narudia Banks hawezi kulipa VAT bila input. Transaction costs were no taxable per the provisions. Sasa kuwaambia wapunguze cost ya transaction walipe VAT it doesn't make sense! The Governor is absolutely right. Hao comedians wa Bunge and CEO wa TRA might polarize the sick taxation regime further!
Nilichukia nilipo ambiwa waafrika wengi wana IQ below avarage

Ila kwa hili la VAT nadhan limenifanya nifikirie Mara mbili, kuwa yamkin kuna baadhi yetu wana shida ya IQ tena nadhan ni kubwa kuliko ambayo ilisemwa na kwa bahati mbaya wanapata nafasi kwenye idara nyeti kama TRA huko ,Wizaran na Bungeni na wengine wengi wanao sapoti jambo hili humu ndani
 
Ukiona mtu kapewa cheo cha kuwa CEO wa Mamlaka kubwa kama TRA na CV yake haiwekwi wazi ujue tu ni Mtu wa Kwetu Homeboy. I can't understand it appears elimu ya Alphayo na uelewa wa Kodi ni Tatizo. Nashauri aende kuchukua kozi ya wiki mbili pale Mikocheni Tax Institute ndio awe confirmed . He was confirmed kabla ya kujua ABC ya kodi!Sheria haiwezi ku apply retrospectively.It's quite academic as long as its value added tax (VAT) it should be paid by consumers! Banks and Mobile phone companies and all traders are just TRA agents and they aught to be paid some sort of a commission to collect on behalf. Sasa huu uendawazimu wa kukamata watu wasiodai risiti it's another comedy. Hao Wabunge waliopitisha hiyo sheria inabidi tupime akili zao simply because the administration of that is very costly. Just imagine umwage watu madukani at every exit ambao watakuwa wanauliza risiti ili Yule ambaye atakuwa hana ashitakiwe. Katika wanunuzi millions it's a very complicated exercise nafikiri kodi itakayo kusanywa itabidi walipwe hao receipt inspectors and this is not only absurd but almost crazy. Tax should be simple and single digit rate Which encourages compliance. Vinginevyo let us wait and see! Narudia Banks hawezi kulipa VAT bila input. Transaction costs were no taxable per the provisions. Sasa kuwaambia wapunguze cost ya transaction walipe VAT it doesn't make sense! The Governor is absolutely right. Hao comedians wa Bunge and CEO wa TRA might polarize the sick taxation regime further!
mbona CV ya mbowe hamuiweki wazi?
 
mbona CV ya mbowe hamuiweki wazi?
Pole sana, ila hili suala halipo kisiasa, na wala haliingiliani na masuala ya kikada. Ni jambo ambalo inabidi ulielewe na kujua mantiki ya watoa hoja hawako kichama au kisiasa. Kama ulibahatika kumsikiliza na Bwana Alphayo Kidatta utaelewa ni nini watu wanachoongelea. Kwa ujumla Kamishna wa Kodi amejiingiza chaka na yaonekana ana mapungufu katika uelewa wa tofauti ya VAT na kodi nyinginezo.
 
kwan kuomba CV ya mbowe ni dhambi??
 
kwan kuomba CV ya mbowe ni dhambi??
Ungeanzisha uzi unaotaka CV ya huyo Bwana Mbowe, lakini hapa utakuwa unawatoa watu kwenye mjadala. Hapa watu wanahitaji kujua uhalisia wa Bwana Kidatta katika masuala ya Kodi kwa kuangalia weledi, uzoefu na uelewa wake.
 
kama ipo si muiweke tu!! Uzi mwingine wa nn??
 
Countrywide !
Shirikisha mwili wako na Ubongo nafikiri unatumia Masaburi kufikiria badala ya Ubongo. You some sort of a spinoff! The subject matter is entirely on uelewa wa masuala ya kodi ya Kamishina Mkuu wa TRA in the name of Alphayo Kadata. Ili kumtendea haki hapa jamii watu wanomba CV yake na ikibidi aweke hapa mwenyewe! We are disturbed how can he have such limited knowledge on VAT and still claim to be the Collector General! This is very serious ni lazima aweze to communicate with the Key stakeholders using the proper language huwezi kuuita Media ukaongea the. Way he did yesterday. He must get back to school hivi kwa nini asiwaita hao bankers akishirikiana na Governor wakaelewana as partners? Swali ni kwamba Hiyo sheria alikombiizana na Mpango kuipitisha akiwa na Wabunge wanasema ndiyo to everything bila kuwa na draft ya regulations knowning that the law becomes effective hata bila Rais ku ascent ! This is really wonder land. Inaonyesha how weak is the system . This implicitly means that mchakato was half cooked na stakeholders were not consulted kwa hiyo compliance becomes a challenge from day one. Viva "hapa kazi tu " kipofu leading kipofu what do you expect!
 
kuomba CV ya mbowe ni dhambi?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom