Wasifu mdogo(CV) wa Alphayo Kidata

Wasifu mdogo(CV) wa Alphayo Kidata

Wadau tunaomba tujadili kwa kina CV na elimu ya Kamishna wetu wa T.R.A Bwana Alphayo Kidato.

N.B: Hii mada hai husiani na tamko lake la jana kuhusu taasisi za fedha kulipa V.A.T kwenye charges mbalimbali wanazo toza wateja.

Karibuni
 
Wadau tunaomba tujadili kwa kina CV na elimu ya Kamishna wetu wa T.R.A Bwana Kidato.
N.B Hii mada hai husiani na tamko lake la jana kuhusu taasisi za fedha kulipa V.A.T kwenye charges mbalimbali wanazo toza wateja.

Karibuni
Halafu ikusaidie nini. Weka yako kwanza kabla ya kutaka ya wengine
 
Ni mchumi lakini amekuwa kwenye nafasi za kisiasa zaidi.
Alishakuwa mipango wizara ya ardhi
Akawa naibu katibu Mkuu Tamisemi
Katibu Mkuu ardhi.
Hivyo sidhani michezo ya fedha ..kodi..na mzunguko wa uchumi kiuhalisia anaujua.
Labda manguli wa Tra wamemuingiza chaka au hii ajenda ya kodi kwenye miamala aliipata kutoka juu
 
Hiizi zama za magufuli,unamkata mteja muamala hautozwi kodi hela unapeleka wapi?kumjazia vat mteja sio sahihi ile ni pesa yake,wewe unaemkata ndio ulipie kodi,magufuli fungia benki za kinyonyaji
 
Mkuu nadhani umeongea badala ya kuzungumza. Tupe mfano wa wafanyabishara wanaolipa VAT. Wote wanaotoza VAT na wakala wa serikali katika kukusanya mapoto ya kodi ya ongezeko la thamani na sio wao wanaolipa. VAT inalipwa na mtumiaji wa mwisho wa huduma/bidhaa. Kwahiyo kusema benki zimekosea ni kupotosha ukweli na kusema ati zifungiwe na kuota ndoto ndani ya ndoto(yani umeto kuwa umeota kuwa benki zifungiwe). Kosa ni la serikali hapo kuweka hiyo kodi na hakuna namna mwananchi lazima aumie tu
 
1467464008591.jpg
 
Kama mfano muwamala mmoja means kutoa pesa kwenye ATM unatozwa 1,000 zamani zote zilienda bank kwa sasa 152.5 itaenda TRA Kama VAT na iliyobaki 847.5 itaenda mfuko wa benki husika na inapatikanaje?

1,000 = 118 per cent
? = 18 per cent ya VAT.

Kwa hiyo 1,000 x 18 / 118 = 152.5

1,000 - 152.5 = 847.5
 
Naona wakwepa kodi mnataka kuleta figisu
Mkuu kunawakati ubinadamu ni muhimu kuliko uanachama. Hivi kweli hili wewe hulioni au ni makusudi tu. Hivi wewe hizo gharama ukipata huduma za kibenki hutotozwa? Ndugu zako hawatatozwa? Kama ishu ni watu kulipa kodi wangesema tu toka mwanzo kuwa kodi imewekwa kwa wateja kwanini wadanganye kuwa ni mabenki ili hali wanajua kuwa kisheria benki haziwajibiki kwenye hili? Tuweke siasa kando na tuvae uraia tu.
 
Mkuu nadhani umeongea badala ya kuzungumza. Tupe mfano wa wafanyabishara wanaolipa VAT. Wote wanaotoza VAT na wakala wa serikali katika kukusanya mapoto ya kodi ya ongezeko la thamani na sio wao wanaolipa. VAT inalipwa na mtumiaji wa mwisho wa huduma/bidhaa. Kwahiyo kusema benki zimekosea ni kupotosha ukweli na kusema ati zifungiwe na kuota ndoto ndani ya ndoto(yani umeto kuwa umeota kuwa benki zifungiwe). Kosa ni la serikali hapo kuweka hiyo kodi na hakuna namna mwananchi lazima aumie tu
Tatizo macho na hisia zote ni kukosoa serikali ukaacha ukweli. Miamala yote inamakato ambayo yalikuwa hayakatwi sa hv yakatwe then wanamhamishia makato yote mteja badala ya ku-absorb hata 10%. Wenyewe wabaki wanatesa kama kawa si sahihi hata kidogo. Wakati mwingine tuwaze kwa UPANA zaidi siyo gharama.
 
Wadau tunaomba tujadili kwa kina CV na elimu ya Kamishna wetu wa T.R.A Bwana Alphayo Kidato.

N.B: Hii mada hai husiani na tamko lake la jana kuhusu taasisi za fedha kulipa V.A.T kwenye charges mbalimbali wanazo toza wateja.

Karibuni
Hahah et haihusiani na tamko lol
Wasingekinzana na BoT tungemdiscuss kweli?
 
Hata mimi mkuu naisubiri kwa hamu na ghamu kubwa hiyo CV ya huyo mkulu wa TRA.
 
Tatizo macho na hisia zote ni kukosoa serikali ukaacha ukweli. Miamala yote inamakato ambayo yalikuwa hayakatwi sa hv yakatwe then wanamhamishia makato yote mteja badala ya ku-absorb hata 10%. Wenyewe wabaki wanatesa kama kawa si sahihi hata kidogo. Wakati mwingine tuwaze kwa UPANA zaidi siyo gharama.

Hawa ndo UKAWA saizi wanatetea wenye mabenk waendelee kupiga hela wanazotukata kwenye miamala yetu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom