Wasifu/CV ya Profesa Joyce Ndalichako

Huyu mama anajisikia sana, anadhani yeye ndio amesoma elimu bora, tamko la kufuta 'dip to degree', 'bridging course' ni kurupuko la karne.

Nataka nijue alikopita na Div zake zote olevel na a-level(kama alinipita)

Aanze kuifuta ya IKULU
 
kuna binti wa anco angu form 4 alipata daraja la 4 la point 31 eti leo anachukua degree ya uchumi!-nilishangaa sana
 
Kwa hilo la GPA sawa ahukumiwe kwa hilo na mengine ambayo yanafanana na na hayo na pia mambo mengine yanahitaji mchango wa wadau mbali mbali na siyo matamko ya viongozi wa kisiasa mi nadhani ndiyo msingi wa hoja yako lakini maelezo yangu hayana na wala hayahusiani chochote na CCM wala CCJ mkuu
 
kwann haiingii akilini,kwani wizara ya elimu imesema division 4 ni failure?
ni kiwango kidogo cha ufaulu mkuu ngoja tupunguze ukali wa maneno maana tukisema failure inaonekana ni tusi
ila kama umewahi kuona mwenye ufaulu huo akisoma kidato cha tano na cha sita basi alitumia njia za panya ambazo waziri anakusudia kuzifuta kama hizo zinazoitwa bridging course au aina zote za intenzive course zinazodaiwa kumuongezea mtu uwezo lakini hazibadilishi ufaulu wake
 
rudia tena post yangu na post ya mtoa mada kiongozi, kuniita Zombi haisaidii na kwa kukusaidia tu

"Waziri huyo wa Elimu anaongeza kuwa wanafunzi wasiofaulu katika kidato cha nne wamekuwa wakienda kusoma ngazi ya cheti, kisha Stashahada na baadaye wakipenya na kuelekea katika Shahada yaani degree lakini sasa watalazimika kupitia katika ngazi ya kidato cha sita. Ambao hawatapitia katika safari ya kidato cha sita ni wale watakaofaulu katika kidato cha nne na kuchaguliwa kwenda kusoma katika vyuo vya ufundi daraja la kati."Elimu ya Tanzania na vipindi vya mpito - BBC Swahili

 
Sawa mkuu, kiukweli waache tu kutamka vtu bila kushirikisha wataalam. Kwan napo wao ni Madokta na Maprofesa..., cjui km kweli wako vzr sehemu zote kiss cha mtu kukurupuka tu na kutoa Amri. Mfano wa hili la 3.5 GPA, Alikurupuka. Alipoona mkurupuko una madhara akashusha had 3.0 GPA. Hii inanipa mashaka na matamko YK. HEBU AFANYE KIDOKTADOKTA BASI Aaaagh!.
 
mkuu usitumie nguvu nyingi sana, watu wana tafsiri kwa manufaa yao (kusingizia OUT kumbe ni wote )

na anakuja makazini huko kama ulipita ki ujanja ujanja utarudia tu mtihani hakuna namna.
 
Roho mbaya haina kabila,roho mbaya nimakuzi ya mtu na mazingira yanayomzunguka.
Napingana na wewe mkuu kuna Sifa za jumla za makabila km tunavyosema wakinga na wachaga wanaijua pesa na hodari kwa biashara au Wakurya ni wakali na majasiri nk hao wa mkoa huo ni wanachembe za Burundi /Rwanda aisee acha kabisa!ila ukiongea nao wana sauti nzuri wala hauwezi amini km wanaweza kuwa hivyo!
 
Nani mtanzania asilia ambae hana unasaba na makabila kutoka nchi nyingine?.Nani alikwambia kuna sifa za jumla na wewe ukazikubali?.

Nikweli wanawake wakichaga wana roho mbaya/wauaji wa waume zao ili warithi Mali?.

Hizo sifa za jumla unazipima kwa kiwango gani na uthibitisho UPI?,au na wewe unakumbwa na propaganda na kuzikubali?.

Mfano wanasema wamasa na wajaruo asili yao ni Kenya unakubaliana nao?.,Wahaya kwao Uganda?.,waangaza kwao Rwanda?.Hivi unakubaliana na huo upuzi?.

Eti wanyanwezi hawapendi ndugu Ila wanapenda watu baki unakubaliana nao wanaozungumza hivyo?.

Eti wachaga na wahaya ni wezi wa Mali za umma?.

Eti waha wana roho mbaya?.

Eti wakurya ni makatili na wana roho mbaya?.
 
aiseee kwa hiyo mpaka sasa hana mume?
 
Habari za muda huu wadau wanajamvi wenzagu, samahani nnina shida sana na cv ya mheshimiwa Joyce Ndalichako, vipi je yeye alisoma masomo ya sayansi au maana kuna jamaa tunabishana sana.

Tovuti ya bunge hawaja update chochote, kweli Tanzania raha sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…