Wasifu/CV ya Profesa Joyce Ndalichako

Nikisima u mean wht? Au una dic uandishi wa wenzio akat we pia ZERO
 
Huyo ni ki.laza tu usidanganywe na watu,wakuwekee hivyo vyeti vyake vya nje tuone alikuaje class
Wewe unayemwita kilaza ndo utwambie alikuwaje class ...hutakiwi kuongea kama umekatwa kichwa kwenye ishu za kitaaluma
 
Mi siko kuchangia cv ya huyo Ndalichako! Hanihusu simhusu apite kushoto.
Niko kuchangia comment moja ya waha &
God Forbid!
Sitaki muha hata wa awe na hela kuliko jayz na beyonce!
Haumtaki kwa kuwa haujampata and ukimpata ndiyo utaanza kumtaka. Mfano hakuna mtu anaependa kwenda haja kubwa lakn hajakubwa ndiyo humfanya mtu apende kwenda kujisaidia
 
Haumtaki kwa kuwa haujampata and ukimpata ndiyo utaanza kumtaka. Mfano hakuna mtu anaependa kwenda haja kubwa lakn hajakubwa ndiyo humfanya mtu apende kwenda kujisaidia

Sina haja ya kumpata sababu samaki wengi baharini why nifate alievunda? , ktk watu bil 7 duniani nizengee waha? Eish!
 
Sina haja ya kumpata sababu samaki wengi baharini why nifate alievunda? , ktk watu bil 7 duniani nizengee waha? Eish!
So far hujaolewa usiseme mengi coz ya mungu mengi. Haina tofauti na binti kwene mahusiano anavotoa ahadi lukuki kwa mwanaume kuwa hatukuwa na mwingine zaidi yake lakn baada ya miaka 5 muulze ametembea na wangapi, atakuwa hakumbuk hatha idadi
 
You sure sijaolewa mwaka wa 9 huu?
Au hadi tueke mabango huku ndo muone eh? Pole ndugu nimeolewa muda mrefu
Huku furahisha genge tu.
 
CV ya mtu ya nini? Ulaya unapimwa kwa utendaji wako wa kazi sio CV au vyeti.
Kuna watu wana CV nzuri na vyeti vya grade 1 lakini hawajui kufanya kazi
 
Oii hivi prof.ndalichako ana watoto if yes ....embu tilikia hapa?????
 
Oii hivi prof.ndalichako ana watoto if yes ....embu tilikia hapa????? Maaana nataka nione kama wana teseka kama hawa wa sasa hivi!
 
Oii hivi prof.ndalichako ana watoto if yes ....embu tilikia hapa????? Maaana nataka nione kama wana teseka kama hawa wa sasa hivi!
Anao na kuna huyu kapata mkopo 100% ni mwanawe
 
Kama o level hukupata point saba na A level hukupata point 3 achana na Ndalichako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…