acha kuinsult uwezo wa kila aliyesoma 90s na acha kufagilia kila aliyesoma kabla!Hasiyefahamu maana ngumu kuelewa maana, kama bado unafikiri ubora wa elimu ya mpaka 1990's mwishoni product ni sawa, endelea kupiga propaganda humu. Elimu ipo ICU, pitia post za vijana wa leo wanawaza nini na wanavyoargue utapata jibu, hakuna haja ya kupoteza muda
thibitisha
Nadhani ulijipendekeza wakakutoa nishai, waha wanamsimamo baby sio wakurukia rukia
Kuna watu wanapata four olevel afu wanapiga certificate mpaka degree ufaulu unakua wa hali ya juu sana olevel elimu ya kukalili iyo isifanye mtu kukosa degree kama certificate na diploma ana first class
Nimefuatilia comments zako ,nmegundua ww ni kilaza wa kiwango cha juu. wenzako wanapga noti halafu wew unatake it serious.Kigoma line wasivyopatana wenyewe kwa wenyewe na kukamatana uchawi, eg ali kiba, ommy dimpoz, diamond ndo msimamo?
Usipende kuleta story za kwenye vijiwe vya kahawa...... T.O wote wanajulikana yeye alisoma Enzi za agano la kale au...???ndalichako T O Mara mbili yaan habahatishi yule ni zaid ya Lipumba
Hapo unabisha ukweliUsipende kuleta story za kwenye vijiwe vya kahawa...... T.O wote wanajulikana yeye alisoma Enzi za agano la kale au...???
sema wewe mwaka ganiHapo unabisha ukweli
Pitia hapa...Navyoelewa kuwa Professor unaanzia kua Tutor au Tutorial Assistant wa chuo kikuu, baadae unajiendeleza na kuwa lecturer, baadae unakuwa sinior lecturer, baadae unakuwa Associate Professor na hatimae unakuwa Professor kamili wa chuo kikuu kinachotambulika kwa maneno mengine ili kuwa Professor kamili unaweza kuwa umefundisha chuo kikuu kwa muda usiopungua miaka 14 wakati huo huo na wewe mhusika ukijiendeleza toka degree ya kwanza hadi ya tatu
Sasa naomba kuuliza Dr. Ndalichako U-proffesor kaupataje?, pia ninaelewa kuna u-professor wa heshima bila kufundisha chuo kikuu kinachotambulika
Hakuna rank ya professor mwandamizi
You are joking, hivi unajua haya mambo! Kwa bahati mbaya wengi tupo amateurs. Mama Ndalichako ni kipanga wa mahesabu usipimeHuyo wako sawa na Prof jay
You are joking, hivi unajua haya mambo! Kwa bahati mbaya wengi tupo amateurs. Mama Ndalichako ni kipanga wa mahesabu usipime
Hayo sitajibu ni mtizamo wa mtu binafsi. Hivi unadhani kupata PhD ni mchezo na hata ukiipata kupata Uprof ni kimbembe maana lazima uwe na maandiko. Hivi unajua kuwa unaweza kumaliza mwaka unaandika statement of the problem. Tuheshimu wasomi si kulinganisha kama the so called Prof Jay or Maji Marefu ndugu zangu. Wahenga walisema kama hujui kufa tazama kaburi, angalia jamaa humu hata kuandika ni mgogoro lakini wanacheka watu wa PhD (halali) kama ndalichako. Muone kama mtoa sredi hajui tofauti kati ya Tutor na Tutorial Assistant lakini anaponda PhD ya mtu kama Ndalichako simply kwa sababu hampendi. Hilo nalipinga kwa nguvu zote au PhD ya JPMAliyeathiliwa na siasa