Alikuwa shushu akajichomeka chadema. Sikui alipenyaje kufika hapo chademaNi ushauri muhimu na muds uscheni Uzi japo kwa masaa kadhaa tupate majibu juu ya uteuzi wa ndugu huyu jinsi alivyo na unyeti wa nafasi hii
Mie namfahamu akiwa kiongozi mkuu wa BAVICHA zaid ya hapo simkumfwatilia kwa ukaribu Tena
Ni ushauri muhimu na muds uscheni Uzi japo kwa masaa kadhaa tupate majibu juu ya uteuzi wa ndugu huyu jinsi alivyo na unyeti wa nafasi hii
Mie namfahamu akiwa kiongozi mkuu wa BAVICHA zaid ya hapo simkumfwatilia kwa ukaribu Tena
Kawekwa kwa mda ili.kuweza kumtafuta waziri sahihi hana ubavu wa kuongoza hiyo wizaraNi ushauri muhimu na muds uscheni Uzi japo kwa masaa kadhaa tupate majibu juu ya uteuzi wa ndugu huyu jinsi alivyo na unyeti wa nafasi hii
Mie namfahamu akiwa kiongozi mkuu wa BAVICHA zaid ya hapo simkumfwatilia kwa ukaribu Tena
Anaitwa petrobas katambi sio parabas, Mama kanyaga twende mbele Kazi Kazi.Ni ushauri muhimu na muds uscheni Uzi japo kwa masaa kadhaa tupate majibu juu ya uteuzi wa ndugu huyu jinsi alivyo na unyeti wa nafasi hii
Mie namfahamu akiwa kiongozi mkuu wa BAVICHA zaid ya hapo simkumfwatilia kwa ukaribu Tena
TISS assetUkweli kwenye siasa uchawi upo. Huyu jamaa huwa sioni anafanya nini kwenye uwaziri
Ana shahada ya sheria na alikuwa mwanasheria wa star tvNi ushauri muhimu na muds uscheni Uzi japo kwa masaa kadhaa tupate majibu juu ya uteuzi wa ndugu huyu jinsi alivyo na unyeti wa nafasi hii
Mie namfahamu akiwa kiongozi mkuu wa BAVICHA zaid ya hapo simkumfwatilia kwa ukaribu Tena
1.Bachelor of Art in Education (SAUT)Atakuwa na CV gani ya maana zaidi tu ya uchawa, usinitch, na fitna za hapa na pale. CHADEMA walijichanganya sana kipindi kile kwa kumpa mamluki cheo cha uenyekiti Bavicha.
Ina maana TISS assets ndio vil.aza hivi? Huyu jamaa amewahi achieve jambo gani popote pale? Hata siasa za majukwaani hawezi, utendaji hawezi, usimamizi nao umemshinda.TISS asset
Ila alipokuwa kiongozi wenu CHADEMA ulimwona jembe?Ukweli kwenye siasa uchawi upo. Huyu jamaa huwa sioni anafanya nini kwenye uwaziri
Kwa sasa wewe unamwona mwenda wazimu?Ila alipokuwa kiongozi wenu CHADEMA ulimwona jembe?
Mkiitwa Matahira mnakasirika.
Wivu, chuki na kinyongo havitawasaidia kuingia madarakani.
Kawekwa makusudi kwa sababu yeye ni bendera fuata upepo hajui chochote hivyo kawekwa pale ili awe chini ya abdulKawekwa kwa mda ili.kuweza kumtafuta waziri sahihi hana ubavu wa kuongoza hiyo wizara
Pale BAVICHA alikuwa anafaa?Ni ushauri muhimu na muds uscheni Uzi japo kwa masaa kadhaa tupate majibu juu ya uteuzi wa ndugu huyu jinsi alivyo na unyeti wa nafasi hii
Mie namfahamu akiwa kiongozi mkuu wa BAVICHA zaid ya hapo simkumfwatilia kwa ukaribu Tena