Za kichina au?Hilo jibu lilitakiwa lijibiwe na 16 years old sio old man with 56 kama wewe!
Mtu ameuliza wasifu wa DC mpya, wewe unadai wasifu wa Sugu.
Ndo ulivyojifunza namna ya kujibu maswali kwenye hzo degree tatu?
Endelea kumponda dr wako wa mihogo ila jiangaie hicho kibarua chako cha kufagia hapo ofisini lumumba kisiote mbawaDr Slaa udokta wake hauna na hauwezi kuwa na tija kwa taifa ..Kimsingi Dr slaa ameishia kidato cha sita..elimu ya dini inatija kanisani tuu!
Huyo ndiye mtoto wa waziri mkuu mstaafu,aka kkUnachotakiwa kuelewa ni kwamba nafasi ya uteuzi ya Paul Makonda ni ya umma. Mleta post ameona ni vyema kupata wasifu wake,kama ambavyo raia yoyote angeomba ajuzwe. Nafikiri siyo namna nzuri ya kujibu,tukiendekeza political sentiments tutashindwa kuhabarishana masuala.
You know......
1.Aliwahi kuwa waziri mkuu -MUCCOBS
2. Alipiga hela za wanafunzi ikapelekea kuzuia sherehe za kukaribishana wanafunzi
3.Hajawahi fanya assignment akiwa chuo ila alifanyiwa na frnds zake kama Edy+ Ino akiwaahidi kuwatafutia kazi wakimaliza chuo
4. Aliwahi kumtishia kumpiga dean wa chuo (mrs nk) endapo angeendelea kumzuia kutimiza tamaa zake za kimadaraka.
5.Alijitahidi kukuza chama cha CCM MUCCOBS(nampongeza sana kwa hili),
6. Aliwaahidi wana ccm wote muccobs kupewa kazi nzuri wakimaliza chuo(hope atatimiza hili sasa bila ubishi)
7. Makonda oyeeeeeee
Huwa nasikia watu wakisema tu. Kumbe ni kweli wewe le mutuz kichwa chako hovyo kbs. No wonder ktk umri huo uko hivo ulivo- Unataka CV ya Rais wa zamani wa Vyuo Vikuu vyote Afrika Mashariki, hahahahaha ungeulizia CV ya Sugu kwanza na Mwenyekiti wako wa Chadema hahahahahaha jamani ukistaajabu ya Musa utaona ya JF unaweza hata kuulizia CV ya Msomi wa Dunia kama Makonda duh!!
Le Mutuz
Hivi are you okay upstairs? It beggers belief really. At that age? With grown up child who most likely reads what you write? What the hell is your brain like?- Mimi nakula batazzz na wabebezz wakareezzz mambo ya UDC wa Njombe sio yangu maaan hahahahah U know
Le Mutuz
Kumbe chizi. Nimeishia hapa- hahahahahahahaha U know hahahaha
Le Mutuz
mtu anayetaka kujua maisha ya mwenzake,anataka nn?
Nashangazwa na jibu hili, mtoa mada kauliza CV ya Mkuu wa Mkoa Dar As Salaam, wewe una dilly Daly kujibu. Katika hoja ya mtoa mada hajataja chama Chochote cha siasa, wewe badala ya kujibu kwa kutoa hiyo CV ya Mh. Makonda unazunguka. That's why wanafunzi wengi hufeli mitihani, kwa kujibu off point. Unaulizwa swali hili wewe unajibu vile.- Unataka CV ya Rais wa zamani wa Vyuo Vikuu vyote Afrika Mashariki, hahahahaha ungeulizia CV ya Sugu kwanza na Mwenyekiti wako wa Chadema hahahahahaha jamani ukistaajabu ya Musa utaona ya JF unaweza hata kuulizia CV ya Msomi wa Dunia kama Makonda duh!!
Le Mutuz
Na wewe kumbe upo unasubiri appointment ya rais kwenye u-DC?maana ulifanya sana kampeni ila siku hizi kule instagram sijui bado upo?- Unataka CV ya Rais wa zamani wa Vyuo Vikuu vyote Afrika Mashariki, hahahahaha ungeulizia CV ya Sugu kwanza na Mwenyekiti wako wa Chadema hahahahahaha jamani ukistaajabu ya Musa utaona ya JF unaweza hata kuulizia CV ya Msomi wa Dunia kama Makonda duh!!
Le Mutuz
Wewe Ruttashobolwa ni mpuuzi na mpumbavu sana. Akili yako kimsingi inakutosha kutembea na kunya tu na labda kukuhudumia mumeo anapo hitaji mzigo. Unawezaje kumdhalilisha hivi Dr. Slaa kwa kumshusha chini ya mtu wa degree moja? Siku nyingine mwambie mumeo akukune vizuri ili akili ikae Sawa kufikiri mambo muhimu.Dr Slaa udokta wake hauna na hauwezi kuwa na tija kwa taifa ..Kimsingi Dr slaa ameishia kidato cha sita..elimu ya dini inatija kanisani tuu!
Da huyu babu huyu sisi tunataka kujua ya makonda hatujauiza habari za sugu namna hyo unafel mtihan babu le mbwembwez- Unataka CV ya Rais wa zamani wa Vyuo Vikuu vyote Afrika Mashariki, hahahahaha ungeulizia CV ya Sugu kwanza na Mwenyekiti wako wa Chadema hahahahahaha jamani ukistaajabu ya Musa utaona ya JF unaweza hata kuulizia CV ya Msomi wa Dunia kama Makonda duh!!
Le Mutuz
- Unataka CV ya Rais wa zamani wa Vyuo Vikuu vyote Afrika Mashariki, hahahahaha ungeulizia CV ya Sugu kwanza na Mwenyekiti wako wa Chadema hahahahahaha jamani ukistaajabu ya Musa utaona ya JF unaweza hata kuulizia CV ya Msomi wa Dunia kama Makonda duh!!
Le Mutuz
- Unataka CV ya Rais wa zamani wa Vyuo Vikuu vyote Afrika Mashariki, hahahahaha ungeulizia CV ya Sugu kwanza na Mwenyekiti wako wa Chadema hahahahahaha jamani ukistaajabu ya Musa utaona ya JF unaweza hata kuulizia CV ya Msomi wa Dunia kama Makonda duh!!
Le Mutuz