Ben Saanane
JF-Expert Member
- Jan 18, 2007
- 14,580
- 18,229
These are serious allegation Ben...!! I hope you are well prepared with concrete evidence for the same matter.
Siogopi Chochote!
January Makamba ajitokeze sasa kujibu tuhuma za kuiba mitihani Galanos Sekondari kidato cha nne.
Hatuwezi kuwa na naibu waziri wa sayansi na teknolojia mwenye tuhuma za wizi wa mitihani karne hii inayohitaji weledi bila kupata ufafanuzi wa kina.
Kuna wimbi la wanafunzi kukimbia masomo ya sayansi na wengine kutafuta mbinu za wizi.Tunazipinga ila katika kukabiliana nazo tunampa uwaziri mwenye tuhuma hizo.
Nahisi Mfalme Juha atakua kwenye kiti cha enzi!
well said... unfortunately, Mfalme Juha ameshakali kiti cha enzi na majuha wenzake wanatumia vijuha vidogovidogo mavyuoni kupiga perepete
it is sickening kuona tutoto twa shule tunarukupuka, tena kwa promotions means za ajabuajabu kumpigia kelele boya asiyeweza chochote zaidi ya kuelea
Sijawahi ona contribution yoyote ya January popote zaidi ya udalali wa makampuni ya simu
ben saanane anza na sugu wazir kivul,mbowe mwenyekiti wa chadema taifa ambaye na yeye alipata 0 form six.slaa elim yake ya kuungaunga kutoka chet hadi phd .then uweke cv yako hapa ndio makamba aje hatuwezi kuwa na double standard.kama unavyotaka
Huu uzi bila shaka unaenda kuvunja vunja kabisa kama siyo kumaliza kabisa ndoto za Urais wa bwa ndugu january. Siasa si lelemama
Pole!!
Sasa unamlinganisha nape na mbowe kielimu
Sasa unamlinganisha nape na mbowe kielimu
Huwa mnaona mnaona nini kwa huyu mtu? Sijawahi kuona kitu na sitakaa nione kitu kwake.
Kuna wengine ni fungu la kupoteza tu, sema channel zinawaokoa.
Kwa sasa ninaona uwezo wa makamba kama wa zitto. Haimaanishi kuwa naungana na hao uvccm bali yawezekana kweli alifeli lakini dakika za mwisho alijitambua
Huoni bichwa lake lilivyo linaonesha kabisa darasani alikuwa Zero kabisa huyo January
we huna channel?
ben saanane anza na sugu wazir kivul,mbowe mwenyekiti wa chadema taifa ambaye na yeye alipata 0 form six.slaa elim yake ya kuungaunga kutoka chet hadi phd .then uweke cv yako hapa ndio makamba aje hatuwezi kuwa na double standard.kama unavyotaka
Huoni bichwa lake lilivyo linaonesha kabisa darasani alikuwa Zero kabisa huyo January
.............
Mwanzo ulikuwa wapi Kama ulijua kaiba why hukusrma long???? Na wakati anaiba we ulikuwa wapi ??????ππππππππππππππ.........
Pro cdm ni wajuvi mno kushadadia cv za wenzao.. PINDI zikiwekwa za viongozi wao wanalia kwa mods thread ifungwe.. mara waliosoma wametufanyia nini
1:Ni bora upate zero kuliko kuiba mitihani kisha upewe uwaziri wa sayansi na teknolojia unaohitaji vipaji na ubunifu kuliko kuiba mitihani huku tukijua ubunifu wa vibaka hauhitajiki katika jamii iluyostaarabika.Sasa tuachane na vita ya kupambana na vibaka!
2:CV ya Mbowe iko wazi kitaaluma.Mgombea urais aliyeruhusiwa kisheria 2005.
Dr.Slaa?Just be honest to yourself.
3:CV yangu iulize jamhuri ya muungano wa Tanzania iliyonisomesha nje.Viulize vyuo vya Allahavad,Annamalai na Glasgow University-Scotland.Kisha iulize jamii.Kisha Rudi majukwa yote ya JF kuanzia Siasa,International Forum,Chit Chat(Usimtamani Madame B),MMU,Business,Lugha,Sheria,Jf doctor na Intelligence Forum.Nje ya JF nenda Nairaland ya Nigeria,Ghana,The Planet na Political Forum ya USA.Jukwaa Kenya na Mashada ambayo imepumzika kisha turudi kwenye harakati za mabaraza ya katiba badala ya kuendelea kufuatilia other forums.Tulia tuli tuli.