Wasifu (CV) wa Freeman Mbowe huu hapa...

Wasifu (CV) wa Freeman Mbowe huu hapa...

kama hii CV yake ni ya kweli hawajakosea basi hii nchi haiwezi kuongozwa na mtu aliyeishia secondary school with all due respect na hiyo secondary school alimaliza? maana hatujaona results

Hilo suala la kuhoji matokeo yake pia ni la msingi na nilikuwa nikilifikiria.,maana tayari kuna vijana wanachangia hapo juu wakisema kuwa huyu jamaa kuwa alisoma makongo.,lakini kwa mwaka walioutaja yaani 75' makongo haikuwepo kwa jina hilo..!!!
 
na wewe weka ya kwako kama watu hawajakukimbia manake mpaka hapa inaonyesha you are nothing before people, naona huu ni mwendelezo tu wa udhaifu wenu na baba ridhi an nape hamna jipya inaonyesha ni jinsi gani mnamuogopa huyu mtu kwa taarifa fupi tu wewe ni dhaifu hata hujui unachokifanya ila umeambiwa tu uandike na wewe ukaandika bila reasoning
 
Jamani hii ni professional yake ambayo ameiweka kwenye Linked Inn sasa mnataka nn tena zaidi ya hili>?

wHr3cYZmSqNUAAAAABJRU5ErkJggg==
 
JE unaijua elim ya rais wa afrika kusini mheshimiwa jackobo zuma? mbona nchi inaenda tu vizuri na wanatuzidi sisi ambao tuna dr.?
Photo: AFP/GETTY

I don't think it's a coincident that a leader with dismal ratings on the feminism scale would also have dismal ratings on the prevention of HIV, an increasingly "feminized" epidemic.
The health and status of a country's women is integrally tied to the health of the country overall. Jacob Zuma, while not great on HIV prevention issues, is worse at women's issues.
This op-ed by Colleen Lowe Morna, the Executive Director of Gender Links, gives a comprehensive and snarky run-down of the harm that South African President Jacob Zuma has wrought to the ideals of feminism, HIV prevention, respect for women in the blink of his tenure, since taking office in 2009.
Jacob Zuma begs the question: when will the world hold leaders accountable for their treatment of women, as a clear litmus test of their strength as leaders, visionaries, and human beings?
Zuma has a laundry list of ridiculous and insulting incidences relating to women, but has made headlines most recently after admitting that he's fathered a child (his 20[SUP]th[/SUP], with a friend's daughter) out of wedlock. Sure he's not the first or last male in power to do so, but it's the lump sum of his deeds that reveal his terrible record on women's rights.
Zuma started his presidency with a bang and brought the polygamy debate to a new global level as he took office with not one but three wives in tow. He's been repeatedly grilled about his polygamy since then, including at the recent World Economic Forum in Davos.
I don't think polygamy is necessarily, inherently bad for women. BUT, polygamy has more often than not been used as an institution to shield misogyny, abuse, and the oppression of women. Therefore to have a country's leader parading it as a paradigm of cultural pride – especially a country where lack of condom use and multiple partners perpetuate a grave public health threat – is problematic. South Africa has one of the highest rates of HIV infection in the world.
In 2006, Zuma was tried and "exonerated" of rape charges, after he gave a cultural defense that he could not simply resist having sex with the young woman after she "signaled" her arousal by the skirt she wore. What was worse, he claimed that after unprotected sex with the woman, who was HIV positive, he showered as a precaution against infection. Double ugh.
 
JE unaijua elim ya rais wa afrika kusini mheshimiwa jackobo zuma? mbona nchi inaenda tu vizuri na wanatuzidi sisi ambao tuna dr.?
Photo: AFP/GETTY

I don’t think it’s a coincident that a leader with dismal ratings on the feminism scale would also have dismal ratings on the prevention of HIV, an increasingly “feminized” epidemic.
The health and status of a country’s women is integrally tied to the health of the country overall. Jacob Zuma, while not great on HIV prevention issues, is worse at women’s issues.
This op-ed by Colleen Lowe Morna, the Executive Director of Gender Links, gives a comprehensive and snarky run-down of the harm that South African President Jacob Zuma has wrought to the ideals of feminism, HIV prevention, respect for women in the blink of his tenure, since taking office in 2009.
Jacob Zuma begs the question: when will the world hold leaders accountable for their treatment of women, as a clear litmus test of their strength as leaders, visionaries, and human beings?
Zuma has a laundry list of ridiculous and insulting incidences relating to women, but has made headlines most recently after admitting that he’s fathered a child (his 20[SUP]th[/SUP], with a friend’s daughter) out of wedlock. Sure he’s not the first or last male in power to do so, but it’s the lump sum of his deeds that reveal his terrible record on women’s rights.
Zuma started his presidency with a bang and brought the polygamy debate to a new global level as he took office with not one but three wives in tow. He’s been repeatedly grilled about his polygamy since then, including at the recent World Economic Forum in Davos.
I don’t think polygamy is necessarily, inherently bad for women. BUT, polygamy has more often than not been used as an institution to shield misogyny, abuse, and the oppression of women. Therefore to have a country’s leader parading it as a paradigm of cultural pride – especially a country where lack of condom use and multiple partners perpetuate a grave public health threat – is problematic. South Africa has one of the highest rates of HIV infection in the world.
In 2006, Zuma was tried and “exonerated” of rape charges, after he gave a cultural defense that he could not simply resist having sex with the young woman after she “signaled” her arousal by the skirt she wore. What was worse, he claimed that after unprotected sex with the woman, who was HIV positive, he showered as a precaution against infection. Double ugh.
 
America was once led by a President who has never been in skul,wake up people,huitaji degree kuwa na busara
 
JAMANI mbona kuaibishana namna hii..ila kusema kweli i never did question is education background rather his integrity...My dad(6 degrees to his shoulders, two masters and one PHD) was not into Politics but when he first saw this guy he told me I will vote for him he should be a president!!!!

Acording 2 ur father
 
hivi huyu mchaga wa wapi hajasoma????ameshindwa kuungaunga kama wenzie akapata angalau kidiploma cha customer care!!!!alijisahau alikuwa bize na kuuza pombe pale kilabuni kwake...nadhani Zito ndiye anafaa kuwa mgombea urais 2015...
 
siyo lazima ku-update CV anyway, kwanza for what purpose? wabunge wengi sana hawakupeleka CV zao in details. sasa wewe kama unaamini hiyo ndiyo CV yake amini hivyo.
 
Funguotatu ww akili huna unajua mtu mwenye master anaongea mambo yaliyokwenda shule sio kama ww kaa darasa la pili.
 
Funguotatu upo nyuma sana ki fikra hata jf sijui ulingia vp!...,CV UTAPEWA MUDA SI MREFU.
 
na wewe weka ya kwako kama watu hawajakukimbia manake mpaka hapa inaonyesha you are nothing before people, naona huu ni mwendelezo tu wa udhaifu wenu na baba ridhi an nape hamna jipya inaonyesha ni jinsi gani mnamuogopa huyu mtu kwa taarifa fupi tu wewe ni dhaifu hata hujui unachokifanya ila umeambiwa tu uandike na wewe ukaandika bila reasoning

huna lolote, tutolee mapovu yako hapa. Mshipa umekutoka kama beberu. Kwa taarifa yako mimi sijatumwa ila nimetoa facts jamvini ili tumpime kiongozi wetu kama huna hoja fyata mkia then sepa.
 
hii ni hatari viongoz wakubwa wa siasa hapa nchini kumbe ni watu wa kutumia vyeti vya kufoji..,aibu kubwa hii...
 
I guess hata wakina Kayosaki, Trump na Warren Buffet dont have much in their CV's

Sijasema na yeye anafanania na hao niliowataja hapo juu :happy:
 
Nafikili watu wa CCM,waache kutapatapa.CV tu peke yake haijengi nchi.Mbona wao pamoja na MCS yao hali yetu ni mbaya sana.Mbowe ni kamanda hamumuwezi kwa propaganda zozote.Propaganda itakayowasaidia CCM,jengeni nchi watu wataona na watawaunga mkono. Propaganda wakati watu mpo madarakani hazitawasaidia ndugu zangu.
 
Sasa ndio naona kwa nn Mbowe huropoka sana majukwaani, kumbe shule ni ndogo na uwezo wakufikiri nao mdogo pia, duh cdm na mwaka 2010 kwenye uchaguzi mkuu walituletea mgombea mwenza wa Slaa wa darasa la saba. Viongozi wenye elimu cdm ni wachache sana sana
Tuondolee ***** wako hapa, nyinyi wenye ma PhD za kubumba mmetufanyia nini? EPA, mikataba ya kuwagawia mabwana zenu wa nje madini yetu bure na kutuachia mashimo tu; mikataba ambayo hata mhitimu wa darasa la nne angeishtukia! Kulundika matrilioni nje na kutuacha kapuku wa kutupwa, kufubaza huduma za afya na elimu na nyinyi kuwapeleka watoto wenu kusoma kwa wenzenu walioboresha miundombinu hiyo na nyinyi wenyewe kwenda tibiwa India? Binafsi pamoja na elimu yangu nzuri niko tayari kutawaliwa na darasa la saba kuliko "wasomi" mbuzi kama hawa waliosheheni CCM. Labda niwakumbushe tu viongozi walio perform vyema katika historia hawakuwa wasomi wa viwango mnavyotaka kupendekeza. Tunaamhitaji mwenye Tanzania moyoni mwake kama ilivyokuwa kwa Sokoine na si mwenye ma PhD mwizi, mzembe na anayefikiri kwa kutumia tumbo na kwato kama mlivyo!
 
Back
Top Bottom