Utotole
JF-Expert Member
- Oct 28, 2010
- 6,608
- 4,265
jaman hii ndio CV? na imekamilika?
Muulize vizuri aliyeileta ameipata wapi isijekuwa kaitunga mwenyewe hapa hapa ili kupata "cheap popularity" kama viongozi wa Bunge letu wanavyopenda kusema kama kuna mbunge wa kambi ya upinzani amepiga mshale kwenye 'Achille's tendon' ya Serikali!