uporo wa wali ndondo
JF-Expert Member
- Dec 3, 2013
- 3,454
- 2,244
Mjinga mkubwa wewe, usitake kutupotosha kwani Mbowe alinunua cheti? habali ya mjini mwambie Makonda yuko uhamishoni aonyeshe vyeti. o
baba wew na bashite mko sawa tu"habali" !!!? ndio nini umeandika? ebu na wewe weka cheti chako hapa ,mnakomaa na habari za makonda na vyeti vyake ,kumbe mambumbu mpo wengi.
baba wew na bashite mko sawa tu
umewahi kuuliza ya nani ukayapata? au umewahi kuyaweka yako hapa?
Huwa sipati majibu ni kwanini ukiulizia matokeo ya Mwenyekiti wa Chadema huwezi pata majibu zaidi ya matusi!
Kama hujala ban, thread kuhamishwa jukwaa, kufungwa au kuwa merged na nyingine bado hujapata majibu!
Ni mwaka wa 15 sasa huu, majibu ya maswali kuhusiana na historia ya kitaaluma ya mwenyekiti wa chadema haipatikani!
Nasubiri kuona labda sasa kwakuwa wameamua kuwa wawazi watatuambia!
Kani mtokeo ya Bashite yalipatikna kwa njia gani?Use unajifunza sio kulalalamika tuu,njia hiyo hiyo iliyopata matokeo ya Bashite itapta matokeo ya wrote wliofanya mitihani ya Baraza la Mitihani TzHuwa sipati majibu ni kwanini ukiulizia matokeo ya Mwenyekiti wa Chadema huwezi pata majibu zaidi ya matusi!
Kama hujala ban, thread kuhamishwa jukwaa, kufungwa au kuwa merged na nyingine bado hujapata majibu!
Ni mwaka wa 15 sasa huu, majibu ya maswali kuhusiana na historia ya kitaaluma ya mwenyekiti wa chadema haipatikani!
Nasubiri kuona labda sasa kwakuwa wameamua kuwa wawazi watatuambia!
Matokeo ya Mbowe yatapatikana kirahisi sana pindi Mkoromije Bashite atakapoyatoa yake mubashara.
Hahahaha....mnanichekesha sana mnavyo bishana na jamaa!Disco joker mophorisa mboe
Si kweli, jamaa ameishia form four tu! Akaanza biashara ya baba yake mbowe hotels! Ni kweli hajawai kununua cheti!KIBAHA ALISOMA O'LEVEL NA ALIPATA DIV- I, A'LEVEL ALISOMA IHUNGO BOYS HIGH SCHOOL YA BUKOBA HGE ALIPATA DIV-II POINT 11
Wewe ulishiriki miss Tanzania 2006?Kwanza elimu yake akipata wakati gani? Maana mala ya kwanza kumjua Mbowe miss Tanzania 2006 alikuwa Dj tena muda mrefu tu kabla sijamjua.
hata kama ailipata zero hatumii cheti cha mtu na anatumia jina lake halisi, tunataka Daudi Bashite aweke vyeti vyake hadharaniHuwa sipati majibu ni kwanini ukiulizia matokeo ya Mwenyekiti wa Chadema huwezi pata majibu zaidi ya matusi!
Kama hujala ban, thread kuhamishwa jukwaa, kufungwa au kuwa merged na nyingine bado hujapata majibu!
Ni mwaka wa 15 sasa huu, majibu ya maswali kuhusiana na historia ya kitaaluma ya mwenyekiti wa chadema haipatikani!
Nasubiri kuona labda sasa kwakuwa wameamua kuwa wawazi watatuambia!
ndugu mbona unakazana kwenye uongo. mimi nimesoma Ihungo na details za mbowe zipo pale high school na ukitaka kuthibitisha mkuu wa shule kwa sasa anaitwa mr Boneventure ata juzi shule ilipopata madhara ya tetemeko na kubomoka nadhani uliona speech yake mwenyewe baada ya kutembelea pale. Ukimuuliza mtu yeyote aliyesoma IHUNGO BOYS HIGH SCHOOL ya bukoba atakwambia mbowe alikuwa anaishi ktk bweni linaloitwa Kenya hapo shuleni na alisoma HGE alifaulu kwa div -II points 11Si kweli, jamaa ameishia form four tu! Akaanza biashara ya baba yake mbowe hotels! Ni kweli hajawai kununua cheti!