Umalize hili we kama nani ?Hamtutoi kwenye mjadala mkuu ngoja tumalize hili then tuje kwa Mbowe
Unajua nini bro? Tatizo ni kwanini serekali ilianzisha kuhakiki vyeti bro. Hayo ya drop outs sawa tu ila sasa mbona wengine walitumbuliwa kwa shida hii hii na wengine mnatuambia tukae kimya sababu miaka ya 80 ilikuwa ni kitu cha kawaida hicho?DotComs - Waliorudia madarasa kwenye 80s wengine nI Baba zenu, wajomba zenu, etc na ndiyo wamewafikisha hapo mlipo....
DotCom mna matatizo sana miaka ya 1970 - 1980 wanafunzi wengi wa shule za msingi walirudia madarasa na kutumia majina ya "drop-outs" ... wapo wengi tu ambao wamepitia njia hiyo. ...
Kwani Ziro si yake au baada ya kupata ziro aliiba vyeti vya nani? Ukipata ziro ndio unaruhusiwa kufoji vyeti? Mbona serikali hii hii ilkagua vyeti vya watumishi na wenye vyeti feki waliondoka, ugumu wa huyu kuthibitisha uhalali wa vyeti vyake ni upi? Ziro ni matokeo tu, mbaya ni kupata ziro na kufoji cheti.Great Thinkers,
Naona wauza madawa wanamuandama sana Mh. Makonda, ila wengi wao wamesahau kuwa Mh. Mbowe alishawahi kuandamwa na jinamizi la kupata zero, na utata wa vyeti vyake, ila hajawahi kujitokeza kusema kama ni kweli au la.
Je Mh. Mbowe ni lini atakuja jitokeza kuongelea juu ya vyeti vyake??
Makonda ni mchapa kazi, na wala propaganda haziwezi kumpunguzia ari, maana yeye anakipaji cha kuongoza.
Mambo ya Mbowe ni kwenye chama chakeGreat Thinkers,
Naona wauza madawa wanamuandama sana Mh. Makonda, ila wengi wao wamesahau kuwa Mh. Mbowe alishawahi kuandamwa na jinamizi la kupata zero, na utata wa vyeti vyake, ila hajawahi kujitokeza kusema kama ni kweli au la.
Je Mh. Mbowe ni lini atakuja jitokeza kuongelea juu ya vyeti vyake??
Makonda ni mchapa kazi, na wala propaganda haziwezi kumpunguzia ari, maana yeye anakipaji cha kuongoza.
We unauliza vyet vya mbowe we kama naniUmalize hili we kama nani ?
Kwani wewe unahamisha milingoti ya magoli kama nani?Umalize hili we kama nani ?