Wasifu (CV) wa Freeman Mbowe huu hapa...

Wasifu (CV) wa Freeman Mbowe huu hapa...

BAADA YA WANA JF NA WANAHARAKATI KUFATILIA CV YA MAKONDA HUU SASA NI MUDA WA KUFAHAMU CV YA MWENYEKITI WA CHADEMA ATULETEE HAPA TUWEZE KUICHAMBUA KAMA TULIVYOICHAMBUA YA MAKONDA
Acha kubadili mada, je hitimisho la makonda limefikia wapi? Ndiyo maana kila siku matamko yasiyokuwa na tija.mbona leo ni miaka 2 bado mnaendelea na neno uhakiki au umesahau kauli ya kiumbe yule ya tanganyika ya viwanda. Mwambieni aseme ukweli aonyeshe vyeti tuendelee na huyo uliyemtaja
 
  • Thanks
Reactions: dtj
Usiwapoteze watu mwambie huyo Bashite apeleke kile cheti chake halisi alichozungusha . Mbowe si kiongozi wa serikali na wala hajabadili jina meen
 
Hii neno CV nilitamani lingerefushwa hivi Sina (C) Vyeti (V).
Anyway just a wishful though and a mere political platitude.
 
Kwani tumeshapata UKWELI kuhusu vyeti vya Makonda?

Ni kweli alitumia vyeti vya mtu mwingine? Yaani alighushi vyeti?

Daudi Bashite ni nani hasa?

Ni vizuri tusikie KAULI YA MAKONDA KUPINGA AU KUKUBALI HILO

PIA NI VIZURI TUSIKIE UAMUZI WA SERIKALI JUU YA KUGHUSHI CHETI.

Tukimaliza hayo ndio tuingie kwa wengine.
 
  • Thanks
Reactions: dtj
Unahamisha goli ambalo ni la zege, Bashite alizunguruka mbuyu mara 9
 
  • Thanks
Reactions: dtj
Naona umeamua kujitoa ufahamu, unaulizia CV ya mwenye chama!!! subiri matusi mimi nipo pembeni nafatilia mtanange!!!!
 
Je Freema Mbowe [HASHTAG]#AlisomaShuleGani[/HASHTAG]? [HASHTAG]#AlisomaMwakaGaniMpakaGani[/HASHTAG]? [HASHTAG]#AlikuwaAkitumiaMajinaGaniShuleni[/HASHTAG]? [HASHTAG]#BabaMkweAlitumiaVigezoGaniKumpaAjiraPaleBOT[/HASHTAG]?
Haya ni maswali mepesi ambayo wafuasi wa msafara hushindwa kutoa majibu, badala yake huamua kutukana tu.
 
JAMANI WANA JF MLIOPO HUMU NILIKUWA NAPENDA KUFAHAMU YA MWENYEKITI WA CHADEMA AMBAE KWA SASA NI KIONGOZI WA KAMBI RASMI YA UPINZANI BUNGENI.
Hivi 2005 ulikuwa na umri gani?? Maana mbowe aliweka cv yake kwenye manifesto yake alipokuwa anagombea urais. Usituletee ubashite wako hapa bwege wewe.
Tunataka cv ya bashite aliyebashite form 4.
 
Nenda kwenye Web site ya Bunge wewe kilaza, au nikupe Namba za mbowe mwenyewe umpigie.
 
Great Thinkers,
Naona wauza madawa wanamuandama sana Mh. Makonda, ila wengi wao wamesahau kuwa Mh. Mbowe alishawahi kuandamwa na jinamizi la kupata zero, na utata wa vyeti vyake, ila hajawahi kujitokeza kusema kama ni kweli au la.

Je Mh. Mbowe ni lini atakuja jitokeza kuongelea juu ya vyeti vyake??

Makonda ni mchapa kazi, na wala propaganda haziwezi kumpunguzia ari, maana yeye anakipaji cha kuongoza.
 
Back
Top Bottom