Wasifu (CV) wa Freeman Mbowe huu hapa...

Anaandika Magoiga SN kutoka Mwanza

Hata Kama Elimu Yake Haina Umuhimu Lakini Historia ya Elimu Yake ni Muhimu Kwa Vizazi Vijavyo
Magoiga SN-Mwanza

Kama kuna kitu ambacho hakuna mtanzania anayekifahamu bayana ni elimu ya Freeman. Hakuna mtu yeyote ajuaye Freeman alisoma wapi elimu ya msingi, elimu ya sekondari wala chuo. Hakuna mtu hata mmoja ndani ya chama chake anayeweza kusema bayana kuwa anaifahamu historia ya kielimu ya kiongozi wao.

Mwaka 2015 Mtatiro alijaribu sana kufuatilia elimu ya Freeman ili aweze kuandika makala yake iliyochapishwa ktk gazeti la Mwananchi bila mafanikio. Hakuna taasisi yeyote nchini inayoweza kudhibitisha kuwa Freeman aliwahi kusoma ktk shule yao.

Hii ni hoja ambayo hakuna anayeweza kuijibu wala kupinga kwa hoja, sana sana wakijaribu kuijibu wataanza matusi, na kusema kuwa elimu ya Freeman haina umuhimu wowote ule kuifahamu. Kwanini wanatumia nguvu kubwa ya kurasa 100 kusema na kuelezea jinai ambavyo elimu ya Freeman haina umuhimu huku wanaweza kutumia ukurasa mmoja tu KUIJIBU HIYO HOJA NA KUWAFUNGA MDOMO WANAOHOJI??

Hapo ndipo ujue kuna shida mahala.
Lakini wanasahau kwamba, hata historia ya marehemu huwa kuna kipengele kinachoelezea historia fupi ya safari ya kielimu ya marehemu hata kama aliishia darasa la nne.

Katika moja ya Makala nzito kuwahi kuandikwa na Mtatiro anasema "wasomaji wataniqia radhi maana taarifa za kielimu za mtu huyu haziko wazi, hata tovuti ya bunge haina taatufa zake. Nimejaribu kuwasiliana na ofisi yake na watu wake wa karibu ndani chama chake, ambao wengine ni marafiki zangu, waliniahidi kunisaidia kuupata wasifu huo wa kielimu lakoni baadae wakakataa kuwa hawawezi kuutoa.. ", mwisho wa kunukuu

Maelezo Zaidi BONYEZA Hapo Chini Kusoma Alivyoandika Mtatiro Kuhusu Historia ya Elimu ya Freeman http://www.mwananchi.co.tz/…/1625946-2738300-1dq…/index.html

JE KWANINI HISTORIA YA ELIMU YA FREEMAN NI SIRI??
Katika moja ya sababu zinazoweza kusababisha elimu ya mtu kuwa siri kubwa ni ENDAPO ELIMU HIYO ilikuwa na matatizo makubwa au mtu huyo hakuwahi kusoma kabisa.

Ukitaka kutafuta historia ya kielimu ya Freeman hutaweza kuipata, na hakuna anayejua lolote, ndiyo maana wengi wanajaribu kuhoji huenda Jina Freeman hakuwahi kulitumia katika masuala ya Elimu hata siku moja (Hayo ni baadhi ya majibu dhania unayoweza kuyawaza)

Au kama aliwahi kulitumia, kuna mahala atakuwa alibadili jina na kutumia jina la mtu mwingine nk??
Freeman alisoma wapi shule ya msingi?? Hilo linajibika
Je Freeman alisoma wapi elimu ya sekondari (o level)?? Na alikuwa akitumia jina gani sekondari??

Na ni kwanini hakuna mtu yeyote anayejitokeza kusema kuwa alisoma na Freeman ?? Utawasikia watu wakisema walisoma na Nyerere, Mwinyi nk lakini hakuna anayesema. Alisoma na Freeman. Why?? Kama wapo bado binafsi sijawaaikia huenda baada ya makala hii nitawasikia waliosoma na Freeman ili niwaulize maswali

Ndugu yangu mmoja amenitaarifu kuwa Freeman alisoma elimu ya kidato cha sita (Form Six) pale IHUNGO sekondari Bukoba, lakini INASEMEKANA HAKUWA AKITUMIA JINA LA Freeman. Why?? IKIWA ni kweli, Ilikuwa vipi aende kidato cha tano na sita kwa jina tofauti na jina analotumia sasa?? Je alibadili jina au ALIIBA JINA LA MWANAFUNZI ambaye alikosa uwezo wa kifedha wa kuendelea na masomo??

Kuna habari inayosema kuwa Freeman alipata Ziro 'Form Six' Pia kuna habari zinazosema kuwa Mwaka 2007/2008 Freeman alijiunga Chuo kimoja huko Uingereza ambapo alikuwa akisoma masomo ya ngazi ya Diploma, lakini Marehemu Wangwe alipoanza harakati za kutaka kugombea Uenyekiti wa Chama, Freeman alilazimika kukatisha masomo na kurejea nchini ili Kulinda Kiti chake kilichokuwa hatarini kunyakuliwa kidemokrasia. Hapo ndipo Wangwe alipovuliwa nafasi zake zote ndani ya chama na kuambiwa kuwa ni msaliti.

Freeman aliwahi kufanya kazi Benki Kuu katika kitengo muhimu kwa muda mrefu. Bado haijulikani aliweza vipi kupata kazi benki kuu ilihali kidato cha nne hakuwa amefaulu, na kidato cha sita inadaiwa kuwa alipata Ziro?? Lakini baadaye jibu likapatokana kuwa Aliyekuwa Gavana wa Benki kuu wakati huo alikuwa Baba Mkwe Wake Mzee Mtei, Mwasisi wa CDM ambaye baadae Kibwetere alimuoa binti yake, na Freeman akapewa uenyekiti wa chama.

Kitu pekee ambacho kinajulikana kuhusu elimu ya Mbowe ni kuwa ANAWEZA KUSOMA NA KUONGEA KIINGEREZA KWA WASTANI. Ingekuwa kiingereza ndiyo kipimo cha usomu Freeman angekuwa amefaulu vyema
Je umeelewa nini mpaka sasa kwa ufupi??
Je Freeman alifeli 'form four'?

Je ni kweli kuwa alijiunga' Form Six' kwa kutumia jina la mwanafunzi mwingine aliyefaulu ila hakuwa na fedha. Zamani ulikuwa ukinunua jina la mwenye akili asiye na pesa
Je ni kweli kuwa 'Form Six' alipata Ziro, ila huwezi kupata jina la Freeman maana hakuwa anatumia jina lake wakati huo. Kumbuka alikuwa anatumia jina la mwanafunzi mwingine.

Alifanya Kazi benki kuu kwa kupewa na Baba Mkwe wake wa Sasa, hakuwa na vigezo vya kitaaluma kufanya kazi aliyokuwa akiifanya Benki Kuu. Maana baba mkwe wa sasa ndiye aliyekuwa Gavana wa Benki Kuu. Huyo huyo ndiye akiyemkabidhi chama baada ya kumuoa binti yake.

[HASHTAG]#Note[/HASHTAG]: Baada ya andiko hili, watu watajitokeza ili kuelezea jinsi wanavyoifahamu historia ya kielimu ya Freeman, tutaweza kulinganisha habari zao na hizi zilizoandikwa hapa mpaka tutakapoupata ukweli. Historia ni muhimu sana, vizazi vijavyo vitashindwa kuandika vitabu kuelezea Shujaa wao Freeman kwa kukosa taarifa muhimu sana kumhusu

[HASHTAG]#FreemanAmesomaWapiFormFour[/HASHTAG]??
[HASHTAG]#FreemanAmesomaWapiFormSix[/HASHTAG]??
[HASHTAG]#FreemanAmesomaWapiFormChuo[/HASHTAG]??
[HASHTAG]#NaniAliwahiKusomaNaFreeman[/HASHTAG]??
[HASHTAG]#FreemanAlifauluVipi[/HASHTAG]??

Tutakuwa tukipokea majibu na kulinganisha na uhalisia, mpaka pale hoja nzima itakapopata majibu. Usishangae kuona wafuasi wengi wakijaribu kukwepa hoja kwa kuleta matusi, mzaha na dhihaka. Wengine watasema weka wewe CV yako kwanza nk wavumilie maana huo ndiyo uwezo wao

INAENDELEA.....................
Magoiga SN-Mwanza
Mwenyekiti wa Muda-CCM Tawi la Mitandaoni

Rangi nyekundu hapo ndiyo imethibitisha ni mmojawapo wa Walaaniwa wa watz. na Allah kwa kuwanyimeni akili na maarifa dhidi ya mateso ya Watz. wanayoyapata.
Kuna PhD uchwara huku iliyofeli kila kitu....na kushindwa hata na ambao hawana STD. 7.
 
Mtei alistep down BOT miaka ya 70 mwishoni.. Mbowe miaka ya 70 mwishoni alikuwa hajafikisha hata miaka 20.. Sasa sijui aliajiriwaje huko BOT na Mtei
Kwa hiyo unasema Freeman hajawahi kufanya kazi BOT?au alifanya kwa jina lingine?kama ambavyo elimu yake haijulikani ilivyo?
 
Tatizo itakuwa umerithishwa umaskini toka kwa wazaz wako ndio maana unafuatilia personal ishu za Mbowe,Jaribu kujijenga uwe tajiri kama mbowe hivyo watoto wako hakuna atakaye kuuliza,
 
Kuwashirikisha watu wote ujinga ulionao kuhusu CV ya Mbowe, nikutowatendea haki. Usichokijua wewe nakuamini kwamba wengine hawajui ni upumbavu.
 
Wewe achana na Mbowe, Malizeni kwanza madeni mnayodaiwa ya Tshirt na Kofia za kampeni, watu walikopa benki sasa mwaka mzima na ushee hiyo riba nani atacover kama si kufirisiana huku jamani.

Mkuu umechokoza nyuki,juzi kulikuwa na uzi humu wa watu waliosoma degree za kuunga unga nikajibu tu kwa maneno rahisi kutaka kujua elimu ya waheshimiwa Sugu,Mbowe,Professor jay na Lema,watu walikuja juu humu!Mwenye jibu rahisi la elimu ya bwana huyu aweke hapa hadharani tu mambo yasiwe marefu.Tungeuliza elimu ya Muheshimiwa Tundu Lissu Mngeweka wasifu hapa kila mtu,kuna ugumu gani kuweka huu wa huyu Anakaeli?Au hakusoma?au darasa la saba?au alifoji vyeti?au alinunua jina?semeni msituzunguushe.
 
Tatizo itakuwa umerithishwa umaskini toka kwa wazaz wako ndio maana unafuatilia personal ishu za Mbowe,Jaribu kujijenga uwe tajiri kama mbowe hivyo watoto wako hakuna atakaye kuuliza,
Hapa hapajadiliwi utajiri,maelezo uliyotoa hapo juu yangetosha kuleta jibu la elimu ya mbowe.
 
Kwa hiyo unasema Freeman hajawahi kufanya kazi BOT?au alifanya kwa jina lingine?kama ambavyo elimu yake haijulikani ilivyo?
Elimu yako nawe itakuwa na mashaka.. Nalichomaanisha hapo ni Mtei hausiki na uajiri wa Mbowe BOT maana Mbowe akiwa mfanyakazi hapo Mtei alishaondokaga miaka mingi
 
Anaandika Magoiga SN kutoka Mwanza

Hata Kama Elimu Yake Haina Umuhimu Lakini Historia ya Elimu Yake ni Muhimu Kwa Vizazi Vijavyo
Magoiga SN-Mwanza

Kama kuna kitu ambacho hakuna mtanzania anayekifahamu bayana ni elimu ya Freeman. Hakuna mtu yeyote ajuaye Freeman alisoma wapi elimu ya msingi, elimu ya sekondari wala chuo. Hakuna mtu hata mmoja ndani ya chama chake anayeweza kusema bayana kuwa anaifahamu historia ya kielimu ya kiongozi wao.

Mwaka 2015 Mtatiro alijaribu sana kufuatilia elimu ya Freeman ili aweze kuandika makala yake iliyochapishwa ktk gazeti la Mwananchi bila mafanikio. Hakuna taasisi yeyote nchini inayoweza kudhibitisha kuwa Freeman aliwahi kusoma ktk shule yao.

Hii ni hoja ambayo hakuna anayeweza kuijibu wala kupinga kwa hoja, sana sana wakijaribu kuijibu wataanza matusi, na kusema kuwa elimu ya Freeman haina umuhimu wowote ule kuifahamu. Kwanini wanatumia nguvu kubwa ya kurasa 100 kusema na kuelezea jinai ambavyo elimu ya Freeman haina umuhimu huku wanaweza kutumia ukurasa mmoja tu KUIJIBU HIYO HOJA NA KUWAFUNGA MDOMO WANAOHOJI??

Hapo ndipo ujue kuna shida mahala.
Lakini wanasahau kwamba, hata historia ya marehemu huwa kuna kipengele kinachoelezea historia fupi ya safari ya kielimu ya marehemu hata kama aliishia darasa la nne.

Katika moja ya Makala nzito kuwahi kuandikwa na Mtatiro anasema "wasomaji wataniqia radhi maana taarifa za kielimu za mtu huyu haziko wazi, hata tovuti ya bunge haina taatufa zake. Nimejaribu kuwasiliana na ofisi yake na watu wake wa karibu ndani chama chake, ambao wengine ni marafiki zangu, waliniahidi kunisaidia kuupata wasifu huo wa kielimu lakoni baadae wakakataa kuwa hawawezi kuutoa.. ", mwisho wa kunukuu

Maelezo Zaidi BONYEZA Hapo Chini Kusoma Alivyoandika Mtatiro Kuhusu Historia ya Elimu ya Freeman http://www.mwananchi.co.tz/…/1625946-2738300-1dq…/index.html

JE KWANINI HISTORIA YA ELIMU YA FREEMAN NI SIRI??
Katika moja ya sababu zinazoweza kusababisha elimu ya mtu kuwa siri kubwa ni ENDAPO ELIMU HIYO ilikuwa na matatizo makubwa au mtu huyo hakuwahi kusoma kabisa.

Ukitaka kutafuta historia ya kielimu ya Freeman hutaweza kuipata, na hakuna anayejua lolote, ndiyo maana wengi wanajaribu kuhoji huenda Jina Freeman hakuwahi kulitumia katika masuala ya Elimu hata siku moja (Hayo ni baadhi ya majibu dhania unayoweza kuyawaza)

Au kama aliwahi kulitumia, kuna mahala atakuwa alibadili jina na kutumia jina la mtu mwingine nk??
Freeman alisoma wapi shule ya msingi?? Hilo linajibika
Je Freeman alisoma wapi elimu ya sekondari (o level)?? Na alikuwa akitumia jina gani sekondari??

Na ni kwanini hakuna mtu yeyote anayejitokeza kusema kuwa alisoma na Freeman ?? Utawasikia watu wakisema walisoma na Nyerere, Mwinyi nk lakini hakuna anayesema. Alisoma na Freeman. Why?? Kama wapo bado binafsi sijawaaikia huenda baada ya makala hii nitawasikia waliosoma na Freeman ili niwaulize maswali

Ndugu yangu mmoja amenitaarifu kuwa Freeman alisoma elimu ya kidato cha sita (Form Six) pale IHUNGO sekondari Bukoba, lakini INASEMEKANA HAKUWA AKITUMIA JINA LA Freeman. Why?? IKIWA ni kweli, Ilikuwa vipi aende kidato cha tano na sita kwa jina tofauti na jina analotumia sasa?? Je alibadili jina au ALIIBA JINA LA MWANAFUNZI ambaye alikosa uwezo wa kifedha wa kuendelea na masomo??

Kuna habari inayosema kuwa Freeman alipata Ziro 'Form Six' Pia kuna habari zinazosema kuwa Mwaka 2007/2008 Freeman alijiunga Chuo kimoja huko Uingereza ambapo alikuwa akisoma masomo ya ngazi ya Diploma, lakini Marehemu Wangwe alipoanza harakati za kutaka kugombea Uenyekiti wa Chama, Freeman alilazimika kukatisha masomo na kurejea nchini ili Kulinda Kiti chake kilichokuwa hatarini kunyakuliwa kidemokrasia. Hapo ndipo Wangwe alipovuliwa nafasi zake zote ndani ya chama na kuambiwa kuwa ni msaliti.

Freeman aliwahi kufanya kazi Benki Kuu katika kitengo muhimu kwa muda mrefu. Bado haijulikani aliweza vipi kupata kazi benki kuu ilihali kidato cha nne hakuwa amefaulu, na kidato cha sita inadaiwa kuwa alipata Ziro?? Lakini baadaye jibu likapatokana kuwa Aliyekuwa Gavana wa Benki kuu wakati huo alikuwa Baba Mkwe Wake Mzee Mtei, Mwasisi wa CDM ambaye baadae Kibwetere alimuoa binti yake, na Freeman akapewa uenyekiti wa chama.

Kitu pekee ambacho kinajulikana kuhusu elimu ya Mbowe ni kuwa ANAWEZA KUSOMA NA KUONGEA KIINGEREZA KWA WASTANI. Ingekuwa kiingereza ndiyo kipimo cha usomu Freeman angekuwa amefaulu vyema
Je umeelewa nini mpaka sasa kwa ufupi??
Je Freeman alifeli 'form four'?

Je ni kweli kuwa alijiunga' Form Six' kwa kutumia jina la mwanafunzi mwingine aliyefaulu ila hakuwa na fedha. Zamani ulikuwa ukinunua jina la mwenye akili asiye na pesa
Je ni kweli kuwa 'Form Six' alipata Ziro, ila huwezi kupata jina la Freeman maana hakuwa anatumia jina lake wakati huo. Kumbuka alikuwa anatumia jina la mwanafunzi mwingine.

Alifanya Kazi benki kuu kwa kupewa na Baba Mkwe wake wa Sasa, hakuwa na vigezo vya kitaaluma kufanya kazi aliyokuwa akiifanya Benki Kuu. Maana baba mkwe wa sasa ndiye aliyekuwa Gavana wa Benki Kuu. Huyo huyo ndiye akiyemkabidhi chama baada ya kumuoa binti yake.

[HASHTAG]#Note[/HASHTAG]: Baada ya andiko hili, watu watajitokeza ili kuelezea jinsi wanavyoifahamu historia ya kielimu ya Freeman, tutaweza kulinganisha habari zao na hizi zilizoandikwa hapa mpaka tutakapoupata ukweli. Historia ni muhimu sana, vizazi vijavyo vitashindwa kuandika vitabu kuelezea Shujaa wao Freeman kwa kukosa taarifa muhimu sana kumhusu

[HASHTAG]#FreemanAmesomaWapiFormFour[/HASHTAG]??
[HASHTAG]#FreemanAmesomaWapiFormSix[/HASHTAG]??
[HASHTAG]#FreemanAmesomaWapiFormChuo[/HASHTAG]??
[HASHTAG]#NaniAliwahiKusomaNaFreeman[/HASHTAG]??
[HASHTAG]#FreemanAlifauluVipi[/HASHTAG]??

Tutakuwa tukipokea majibu na kulinganisha na uhalisia, mpaka pale hoja nzima itakapopata majibu. Usishangae kuona wafuasi wengi wakijaribu kukwepa hoja kwa kuleta matusi, mzaha na dhihaka. Wengine watasema weka wewe CV yako kwanza nk wavumilie maana huo ndiyo uwezo wao

INAENDELEA.....................
Magoiga SN-Mwanza
Mwenyekiti wa Muda-CCM Tawi la Mitandaoni
Labda nichangie kidogo
Tafsir ya kusoma sio ku hesabu vyumba Na madarasa hivo leo mtu anasema kasoma lakin mwizi magumashi sio mwaminifu katika jamii alichopewa kufanyia lazi kwa niaba ya waliochini yake yeye anafanya chake je hiyo ndo elimu mnayosema ??
Kuna kusoma na kuelimika sisi tunatumia computer je Bill gates ana kiwango gani cha elimu hapo kwetu bakhresa anakiwango gani cha elimu ?? sasa wacheni kukashifu watu
 
CV ya mtu inakuhusu nini!? Mbona wenye phd walinunua mabehewa feki kivuko kibovu,ufisadi wote unafanywa na hao mnaowaita wasomi kama ni cv nenda katafute ya Ole sendeka kinana na wenzake
Hivi elimu ya huyu mkuu ni siri sana!!

Kwa nini iwe siri hivyo?
 
hivi ubunge unahitaji elimu ya darasa la ngapi...kama ni darasa la saba basi katibu wa bunge awajibishwe kwa kushindwa kumfukuza bungeni mbunge ambaye hajawahi kusoma popote....nb pia shame on wabunge wasomi kama tundu na wengine kukubali kuongozwa ndani ya chama na bungeni na mtu ambaye elimu yake ina mashaka....
Na ile ya kujinyea jukwaani je!!
Please be informed that elimu yake ni ya maana sana kuliko ile PHD ya Push ups...
 
Hili swali ni gumu sana kwa Mbowe na zaidi kwa Bavicha, kama elimu ya Mbowe isingekuwa na makandokando basi jibu lishapatikana siku nyingi, zaidi hapo tuendelea kuona matusi toka kwa wapambe.
 
Kabla ya kuhoji elimu za wengine weka ya kwako kwanza maana hata sie hatujui historia ya elimu yako
 
Kwa hiyo unataka kusema hiyo ndio moja ya sababu za TZ kushindwa kuwa nchi ya viwanda kwa miaka kumi, ishirini iliyopita?
Pia nina wasiwasi na huko tuendako kama tutafika.
Halafu umeajiri watu wangapi wewe?
 
I and on my behalf of my people of Chato we don't know any thing about CV of Mr Mbowe because is not my business
 
Mtei alistep down BOT miaka ya 70 mwishoni.. Mbowe miaka ya 70 mwishoni alikuwa hajafikisha hata miaka 20.. Sasa sijui aliajiriwaje huko BOT na Mtei
Mizizi yake ilikuwa imejichimbia zaidi ardhin, aliondoka miaka ya 70 lakini alikuwa bado yupo.
 
Back
Top Bottom