Wasifu (CV) wa Freeman Mbowe huu hapa...

Wasifu (CV) wa Freeman Mbowe huu hapa...

Wewe achana na Mbowe, Malizeni kwanza madeni mnayodaiwa ya Tshirt na Kofia za kampeni, watu walikopa benki sasa mwaka mzima na ushee hiyo riba nani atacover kama si kufirisiana huku jamani.
 
Nakumbuka kipindi cha Mwaka Jana wakati mtatiro anaandika mambo Uchambuzi wa wagombea Urais, Mbowe, na watu wake waligoma kumpa ushirikiano kuhusu ishu ya Elimu yake
 
CV ya mtu inakuhusu nini!? Mbona wenye phd walinunua mabehewa feki kivuko kibovu,ufisadi wote unafanywa na hao mnaowaita wasomi kama ni cv nenda katafute ya Ole sendeka kinana na wenzake
jibu hoja mkuu sasa ile dhana ya wabunge kuwa na at least form four,ilikuwa ya nn ???
 
Ukiwa na zero ya form 6 ni sawa na aliyeishia form 4 tu. Na hapo bado hatujajuwa matokeo yale ya form 4.

Upo hapo ulipo?
sina hakika kama Mbowe alipata zero , ila nnachojua alimaliza form 6 na aliajiriwa benki kuu iliyo chini ya serikali ya CCM kwa qualification ya form 6
 
Dangote anafunga kiwanda watu wanakosa ajira..wewe unaleta mambo ya elimu ya mtu huku itasaidia nini kwa mfano. Hao wenyewe PhD wanakusaidia nini labda mbona wengi tu alakini kilakitu ni mwendo kasi na on behalf of my self.
Acha izo bhana
thread ya ndagote ,ipo mzee jibu hoja ,mbowe alisoma wapi mkuu??
 
Twambie usomi sospeter muhongo umesaidia nini maana mpaka dangote anafunga kiwanda kwa ajili take!
 
Kwa bahati nzuri siku hizi viongozi wetu wapo kidigital hivyo nataraji majibu mazuri kutoka kwa wahusika nafahamu wapo humu ndani!!
Japo elimu sio bora kuliko uimara alionao mh na bahati mbaya elimu yetu bongo haina uhalisia wa maisha yetu kabisa!
ukiangalia hata ktk dunia kwa ujumla utamwona mtu kama Issack Newton hakuwahi kufaulu mitihani ya darasani lakini mpaka sasa tunamnukuu kama father of machanics!! Hivyo nafikiri kutambua elimu ya kiongozi wetu si jambo baya kutokana na misingi yetu tuliyojiwekea but elimu isiwe kigezo kikubwa cha kumpima mtu ktk ufanisi na uongozi mana kwa harakaharaka tu kwa mfano ukimweka Prof Baregu na Mbowe bado utagundua licha ya tofauti kubwa ya kielimu but Mbowe ni kiongozi bora.
 
sina hakika kama Mbowe alipata zero , ila nnachojua alimaliza form 6 na aliajiriwa benki kuu iliyo chini ya serikali ya CCM kwa qualification ya form 6

hapana hakuajiriwa na serikali ya CCM, aliajiriwa na mkwewe Mtei.

Kama hauna uhakika uliza upewe uhakika kabla hujaaanza kubwabwaja na kuhororoja bila mpango.
 
Aitheee!!

Ukawa wakileta CV ya mbowe hapa natembea Uchi kweupeeeeeeeeee toka Posta mpaka Chalienze...

Prove me wrong!!!
 
Wewe achana na Mbowe, Malizeni kwanza madeni mnayodaiwa ya Tshirt na Kofia za kampeni, watu walikopa benki sasa mwaka mzima na ushee hiyo riba nani atacover kama si kufirisiana huku jamani.
Elimu

Elimu

Elimu

Tupe Cv ya Freeman
 
hapana hakuajiriwa na serikali ya CCM, aliajiriwa na mkwewe Mtei.

Kama hauna uhakika uliza upewe uhakika kabla hujaaanza kubwabwaja na kuhororoja bila mpango.
Basi ndo nijuze ati,

nnachojua benki kuu ipo chini ya serikali tena ya CCM.

sijui serikali MAKINI ya ccm ilikuwa wapi wakati divion zero ya Mbowe (kama ni kweli) inapata ajira benki kuu.

nijuze tafadhali
 
Baba yake Mbowe alikuwa mtu mwenye hali nzuri saana wakati wa uhai wake...nikimaaniaha kifedha na umashuhuri....kwanza kubalini hilo.
 
CV ya mtu inakuhusu nini!? Mbona wenye phd walinunua mabehewa feki kivuko kibovu,ufisadi wote unafanywa na hao mnaowaita wasomi kama ni cv nenda katafute ya Ole sendeka kinana na wenzake
Nilijua tuu mtaanza kuimba Taarabu...!

Tunataka CV ! Whatever it will be...

Elimu

Elimu

Elimu
 
Back
Top Bottom