Quarterpin
JF-Expert Member
- Mar 19, 2013
- 1,253
- 1,084
Mkuu wakati watu wanahangaika na degree Mbowe alikuwa anatafuta pesa, na akafanikiwa kitu kibaya kabisa kwa binadamu ni kuwa shule huna, hela huna, hata akili huna kama walivyo vijana wengi wa lumumba, hamkupata bahat ya kwenda shule, pesa hamkutafuta, kibaya zaidi akili hamna kila siku mnageuzwa mawazo na watu walioshindwa karibu miaka 60 na mnakubali tu. Mbowe ana pesa ambazo unaweza kufa hujawahi pata. Dunia hii either uwe na elimu au uwe na pesa basi.
Leo nilikuwa napitia CV za wabunge wetu katika website ya Bunge Bahati mbaya nilipo msearch Mbowe ili nijionee Education background yake na Mambo mengine ya Kiuongozi nikaona Iko empty kabisa! Sasa najiuliza ni yeye hajapeleka CV. yake au yule anae manage Website ya Bunge alisahau kuiweka? Haina tarehe ya kuzaliwa,wala namba yake ya simu wala anuani yake!
Naombeni ufafanuzi kidogo![]()