Wasifu (CV) wa Freeman Mbowe huu hapa...

Wasifu (CV) wa Freeman Mbowe huu hapa...

nasikia dh.aifu kashajaza passport 30 ndani ya miaka 9...cv nzito hii!!!!
 
Je elimu alio nayo mbowe anaweza kuongoza nchi?
 
Mkuu umeishia Darasa la ngapi?.Unamtaka Zitto awe Rais wako wanyumbani kwenu badala umtafutie huko fb unakuja humu kusiko saizi yako,kwanza haujui kama Urais niwa nchi tofauti nawanyumbani kwenu ni miaka 40.Usitafute umaarufu kwa ujinga wako
 
Je elimu alio nayo mbowe anaweza kuongoza nchi?

Hili bango sio kwa MBOWE ila ni kwa 2vasco Dagama kwani ule udaktari sijui kama kuna ulazima wa kutamwaka au kuandikwa kila anapotajwa ikizingatiwa kuwa ni wa "sympathy" tu
 
Last edited by a moderator:
ELIMU YA MBOWE NI ZAIDI YA PHD

Mbowe ni form six failure lakini ni mjanja kuliko watu wenye Phd zao Ukawa. Ona sasa alivoiua NCCR na CUF ndani ya mwaka mmoja. Peter Msigwa aliwahi sema mtu yoyote atakayempigia kura Lowasa akapimwe akili na mimi sidhan kama Mbowe,Mnyika na Lissu wana vichaa kiasi hicho cha kumpigia kura katuni.

Watu wanataka ruzuku alafu mapimbi wamekalia "Lowasa mabadiliko, mabidiliko Lowasa" Poleni sana msiojitambua, hamumjui Mbowe.
 
Ni akili zao mbovu tu. Hujawah ona utafiti unaonyesha watanzania ni miongoni mwa watu wenye IQ ndogo zaid?
 
Wengi wetu tunaendeshwa kama roboti tu. Tukijua kitu kimoja wala hatuumizi kichwa kufikiria kitu kingine
 
UKAWA hakuna ata mmoja mwenye elimu ya uhakika wote wameunga unga
 
ELIMU YA MBOWE NI ZAIDI YA PHD

Mbowe ni form six failure lakini ni mjanja kuliko watu wenye Phd zao Ukawa. Ona sasa alivoiua NCCR na CUF ndani ya mwaka mmoja. Peter Msigwa aliwahi sema mtu yoyote atakayempigia kura Lowasa akapimwe akili na mimi sidhan kama Mbowe,Mnyika na Lissu wana vichaa kiasi hicho cha kumpigia kura katuni.

Watu wanataka ruzuku alafu mapimbi wamekalia "Lowasa mabadiliko, mabidiliko Lowasa" Poleni sana msiojitambua, hamumjui Mbowe.

2010 NCCR walikua na wabunge 3 wa ulichaguliwa, CUF 1 wa kuchaguliwa! Sasa kama NCCR wamepewa majimbo 24 tena yenye uhakika wa kushinda na CUF wamepewa majimbo 79 nayo yenye uhakika wa kushinda, Sasa kama NCCR Watapata angalao wabunge 15 wa kuchaguliwa na CUF 40 huoni tofauti na 2010? Kawadanganye wajinga wenzio ili jua UKAWA ndio Tz mpya ijayo.
 
Ha ha ha haaaaa... 7000/=.. hivi mnaakili kweli?? upinzani umekufa au umeboreka? lini pamewahi kua na upinzani wa nguvu kwa sisiem kama msimu huu.. Acha kuwaza kwa Masabu..........!!! MNAANDIKA LAKINI??
 
Leo nilikuwa napitia CV za wabunge wetu katika website ya Bunge Bahati mbaya nilipo msearch Mbowe ili nijionee Education background yake na Mambo mengine ya Kiuongozi nikaona Iko empty kabisa! Sasa najiuliza ni yeye hajapeleka CV. yake au yule anae manage Website ya Bunge alisahau kuiweka? Haina tarehe ya kuzaliwa,wala namba yake ya simu wala anuani yake!

Naombeni ufafanuzi kidogo
695af64ee97acee7df11fa6f0a8e90ae.jpg
 
Back
Top Bottom