Odhiambo cairo
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 16,352
- 22,958
Hebu weka hapa vyeti vya msemaji wa LumumbaHii inawezekana vipi? Mbowe hata high school certificate ya Kitanzania hana yaani ile standard kabisa kwamba unafaulu kidato cha nne mwisho daraja la III ndiyo upate nafasi ya kwenda high school, kama anayo basi itakuwa ya kununua lkn siyo ile standard ya kwetu, ndiyop aweze kushika akili za wanachadema wote tena baadhi nasikia wa PhD, hili linawezekana vipi?