Wasifu (CV) wa Freeman Mbowe huu hapa...

Wasifu (CV) wa Freeman Mbowe huu hapa...

Jamaa pamoja na kuwa alipata ziro form six lakini namsifia sana kuweza kawongoza nyumbu wengi tu, hawana ujanja kwake.
Nyumbu hawahitaji elimu yoyote kuwaongoza yaani wewe ni kutoa ishara tu.
 
images-8.jpeg

Hata kama huna shule unaweza tu kuwaongoza hawa.
 
Sasa kama hana cha kuweka unataka afanyeje? Alipoulizwa kuhusu elimu akasema ana Primary Education tu. form Four alipata zero. Kuhusu Work Experience akasema hajawahi kufanya kazi nyingine zaidi ya kuwa DJ pale Bilicanaz.
uongo fani yako? mimi najua form four alifauru vizuri kabisa div1!
 
Zero unaindikaje kwa KUB na kiongozi wa vyama vitano vya upinzani nchini ni aibu kwa taifa kuwa na mbadala wa waziri mkuu mjinga aliyepata division zero shuleni:

niabu kwa wanachadema wanajiona wasomi huku wakiongozwa na mjinga aliyepata sifuri shuleni eti ataleta mabadiliko.

Ni upuuzi kwa vijana wa ukawa kumtaja mbunge aliyepata division four huku wao wakiongozwa na mwenye zero
USSR hebu weka CV yako tuione tulinganishe na ulichoandika hapa! Mimi ninachoamini kufeli kidato cha nne au cha sita haimaanishi wewe ni mjinga mno kama unavyojaribu kutuaminisha hapa. Kwa kuwa wakubwa wako ndani ya CCM wana uelewa kuliko wewe ndio maana wamempa usemaji wa chama Ole Sendeka bila kujali kwamba alifeli kidato cha sita. Andiko lako linaakisi wewe inawezekana ulifeli kuliko Mbowe, unang'ang'ania CV ya mtu ambaye mambo aliyoyafanya yanajieleza yenyewe, na bila shaka nje ya hapa JF unamkubali!
 
Acha mjifariji Huku! Je?mbowe akichangia Mada mnaonaje??ni Sawa na bi aggy the genius ????mmekimbia mbiombio kuanzisha thread. Bi marwa angetema madini Hamna mtu angejishughulisha nae,,.uwezo wake wa kuchakata mambo Ni zero.
 
USSR hebu weka CV yako tuione tulinganishe na ulichoandika hapa! Mimi ninachoamini kufeli kidato cha nne au cha sita haimaanishi wewe ni mjinga mno kama unavyojaribu kutuaminisha hapa. Kwa kuwa wakubwa wako ndani ya CCM wana uelewa kuliko wewe ndio maana wamempa usemaji wa chama Ole Sendeka bila kujali kwamba alifeli kidato cha sita. Andiko lako linaakisi wewe inawezekana ulifeli kuliko Mbowe, unang'ang'ania CV ya mtu ambaye mambo aliyoyafanya yanajieleza yenyewe, na bila shaka nje ya hapa JF unamkubali!
Punguza povu....si mnataka tujadili elimu za wabunge???

Lete CV ya Mnyika hapa
 
Jiulize kwa nini Wachaga wamewakataa unaowaita wasomi na kumpatia ubunge Mbowe.
Ukumbuke Wachaga wengi ni wasomi na waelewa wazuri. Tafakari!!
 
Mbowe hana phd ya kusoma chemistry kwa kiswahili ila hawezi kuongea kiingereza cha ajabu "am a politicians" aibu tupu.
We unadhani kuandaa kipindi kama cha DJ show ni jambo dogo ?lazima ulimi uteleze
 
Back
Top Bottom