Wasichoweza na Wanachoweza Wa Dar..

Wasichoweza na Wanachoweza Wa Dar..

ishakua too much ebu acheni huu utoto,,naanza kuwadharau wote mnaoleta thread za wanaume wa dar,, ishaisha ladha inaboa sana nahs mna hormone za kike nyie...
Kiongozi usiumize kichwa kwa hizi thread za kitoto.... wengine bado wana tongotongo wakiota ni siku gani wataliona soko la Kariakoo...

Inferiority complex....
 
Jamaa halembi ameukamatia muua
atumia meno huyo sio kumenyewea menyewa
ishakua too much ebu acheni huu utoto,,naanza kuwadharau wote mnaoleta thread za wanaume wa dar,, ishaisha ladha inaboa sana nahs mna hormone za kike nyie...
kweli kabisa ila hili jukwaa la mengi ukitaka kuwa serious ama kukereka ama kuburudika vyote vimo humu si lazima kung'ng'ania kumoja
 
Kiongozi usiumize kichwa kwa hizi thread za kitoto.... wengine bado wana tongotongo wakiota ni siku gani wataliona soko la Kariakoo...

Inferiority complex....
au mwambie ameze Aspirin, UKISOMA KITOTO ITAKUA YA KITOTO ILA KUNA FUNZO KUBWA SANA KWA THREAD HII
 
ishakua too much ebu acheni huu utoto,,naanza kuwadharau wote mnaoleta thread za wanaume wa dar,, ishaisha ladha inaboa sana nahs mna hormone za kike nyie...
soma kwa tafakuri zaidi utapata kitu haiwezekani ununue nyanya chungu za GMO wakati zipo za asili etc, t=ni kujimaliza taratibu na huo ndio utaratbu wa wengi na ama uache ugali wa dona kila siku wala chips tu
 
images
carrot za rubani wa anga!!
images
matunda "wee nipo macho nakuona"
 
ishakua too much ebu acheni huu utoto,,naanza kuwadharau wote mnaoleta thread za wanaume wa dar,, ishaisha ladha inaboa sana nahs mna hormone za kike nyie...
Ni utani tu wa kuchangamsha jukwaa, hamna haja ya kukaairika. Mwisho wa siku hata mimi ni mwanaume wa Dar, nimezaliwa hapa na kukilia hapa ila nikiilizwa kwenu wapi, NATAJAGA MKOA WANGU TENA KWA KUJIVUNIA.
Wazaramo ndo wanaume wa Dar, wengine wooote ni wa mikoani tuko hapa kutafuta tu.
Hivyo chukulia kama utani hapa kuchekeshana, sio kila mara ni mambo ya siasa na mmu.
 
Back
Top Bottom