Mgirik
JF-Expert Member
- Apr 27, 2013
- 13,286
- 13,460
Kwann mkuuhasi nimesisimka aisee ..
Kwann mkuuhasi nimesisimka aisee ..
Kwanini umekasirika sana?ishakua too much ebu acheni huu utoto,,naanza kuwadharau wote mnaoleta thread za wanaume wa dar,, ishaisha ladha inaboa sana nahs mna hormone za kike nyie...
Hapana hiyo siyo Dar, labda Pugu - Minaki - Kisarawe!Huyo Jamaa wa Mua Naomba kujua Ni dar sehemu gani yenye mlima wa hivyo Kabisa!
Hela wanashindia mihogo ya kuchoma na miwa. Acha hizo Wewe.Ila wanaume wa Dar wanawazidi hela
Unakaa Dar sehemu gani?ishakua too much ebu acheni huu utoto,,naanza kuwadharau wote mnaoleta thread za wanaume wa dar,, ishaisha ladha inaboa sana nahs mna hormone za kike nyie...
ulivyosema unakula yani nimepata msisimkoKwann mkuu