Wasichoweza na Wanachoweza Wa Dar..

Amavubi

JF-Expert Member
Dec 9, 2010
30,156
13,258
uzi maalum kwa wewe kuongeza ujuacho juu ya mada lengwa

images (1).jpg
nyanya.jpg
 
ishakua too much ebu acheni huu utoto,,naanza kuwadharau wote mnaoleta thread za wanaume wa dar,, ishaisha ladha inaboa sana nahs mna hormone za kike nyie...
 
Huyo Jamaa wa Mua Naomba kujua Ni dar sehemu gani yenye mlima wa hivyo Kabisa!
 
Muda mwingine ifikie mjizungumzie na nyie wanaume wa mikoani.
Wanawake mnaowapenda wote wanapatikana huku state house ajabu hamuishi kuwazungumzia shemeji zenu wanaowatunzia huku
 
Back
Top Bottom