Wasichana wazuri wanatisha hatari

Wasichana wazuri wanatisha hatari

Hujui kuandika tumesitisha Kwanza Uzi wako mpaka ufanyiwe uchunguzi hiko cheti chako ulikipataje pataje
Kama unachochote cha kunisaidia unasema tu ukisema tuanze kukosoana hata wewe umekosea badala ya kusema hicho cheti we unasema hiko cheti ... acha hizo
 
Habari za kazi wadau wenzangu wa JF

Kutokana kichwa cha habari hapo juu mimi ni kijana wa karne ya 20 lakini kuna jambo ambalo linanitokea hali ya kwamba nimeshindwa kulipatia ufumbuzi juu ya kwamba kila nikikutana na msichana mzuri nakua namuogopa yaani i donno why mpaka inakua hivyo.

Naombeni ushauri jamani wadau pamoja na nyie warembo wote nambieni kwamba labda hua mmejipanga kutisha watu kama mimi au ni vipi.
Kwasababu una donno, siku ukiancha ku donno utaacha kuwaogopa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom