nameless girl
JF-Expert Member
- Apr 22, 2012
- 4,195
- 2,689
Napata hofu kidogo baadhi ya wasichana hasa wa mjin mpaka kufikia umri wa kuolewa lakin hawezi kupika ugali tu.Dada zangu kuna ugumu gani kupika ugali,kijijin hata mtoto wa kike wa darasa la tatu anapikia familia ya watu watano na kuendelea mjini kazi ipo unakuta binti kafika mpaka chuo Kikuu kupika hawezi.nini tatizo jaman
Siku izi hta kusugua miguu na viganja hawawezi, mpaka wapaaswe na wauza urembo.
Ndo mana mbunye zinanuka ka panya.
ugal rahis sana kupika hata leo tu kama hujui kupika ukiamua kujifunza unaweza kua mpishi mzuri tu,ingekua pilau ama vyakula vingne vinavyohitaj process nying na ndefu sawa lakin ugal hata dakika tano haichukui oneni aibu kidogomimi mwenyewe sijui kusonga ugali.lakini mahanjumati mengine mengi tu naweza.nilivyokuwa mdogo katika chakula nilichokuuwa sikipendi kilikuwa ugali,maybe imechangia.sie wa pwani ugali sio big deal.ukijua kupika maandazi,chapati,mikate ya ufuta,biriani,na mahanjumati mengineyo inatosha,na wewe mtoa mada kama mwenzako hajui si umfundishe?
ugali kale kwenu........
Jifunze kupika ugali leo dada kama hujui,ukiolewa unakua na kwako na mumeo ambae atahitaji kupikiwa nawe,elewa kua chakula kikuu cha sisi waafrika ni ugali tena na maharage labda udanganye hapa kua hujawahi kula ugali
wewe unaona sawa mkikutana ndoani wewe hujui na mumeo hajui?
Hivi nyinyi wanaume kwanini kila kitu unarefer kuolewa? acheni ubinafsi bhana, kwani mtu anatakiwa kufahamu vitu kwa sababu tu ya kuolewa? mbona nyinyi hamjifunzi vitu ili mkioa muwafurahishe wake zenu? huu ndo utumwa tusio utaka sisi. By theway, kama mkeo hajui kitu si umfundishe? sio rahisi kufahamu vitu vyote. na isitoshe kila mtu anapreference zake katika maisha, so inatekemea unaemwoa anaprefer nini katika maisha yake kama wewe ulivyo na preference zako.Jifunze kupika ugali leo dada kama hujui,ukiolewa unakua na kwako na mumeo ambae atahitaji kupikiwa nawe,elewa kua chakula kikuu cha sisi waafrika ni ugali tena na maharage labda udanganye hapa kua hujawahi kula ugali
hivi kumbe nikifungua saloon ya kutoa huduma hiyo naweza kupiga bao eeah?Na mda si mrefu watahitaji kusafishiwa mbunye
ugali kale kwenu........
ugali kale kwenu........