Wasichana /Wanawake wenzangu

Binafsi naomba na natamani sana wanawake tubadilike
[emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji115]

Labda isiwe sayari hii ya kufuga kucha.



Nilimsikia mwanamke wa dizaini hii enzi zileee bado ma godzila yapooo[emoji134] [emoji134] [emoji134]
 
Mhmmhmhmhmh hapo kwenye kufika kileleni hapo sasa kuna vituko balaa yani mungu huyuu acheni aitwe MUNGU
 
Ungejua tuuu kuwa mwanamke huishi kulingana na matakwa ya mwanamke hata usingezungumza yote haya.


Mwanamke ni mama wa mtoto mkubwa wa kiume, ni jukumu lake kumchagulia malezi
 
Tatizo hizo busara ulizoandika hapo unakuta kila mwanamke anayo moja,yule ana mbili, huyu hana kabisa,yani hukuti yupo complete hasaa, that's wanaume kuchepuka anakuwa anatafuta kigezo fulani ambacho anakitaka

√na hii dunia wanawake wangekuwa wengi mbona ingekuwa shiidaah
 
Mh wengi wenu huwa hampendi tukishazaa maungo yetu yanabadilika sana.. Sawa mnapenda watoto ila sisi mhmmhmhmhmh!
 
Asante though Mwenyewe tu unanijaji tofauti.. Enwei nimekua kiakili
Ngoja nitembelee nyuzi zako, nione kama ulishawahi, au hua una akili za hivihivi ama ni kwa hii pekeee[emoji15] [emoji15] [emoji15]

Nishapiga malufuku kuo, kisa nilimtafuta wa hivi kwa miaka mingi,

Siku moja nikaambiwa

Hata nikimpata nikapime nae DNA labda atakua ni mama yangu.

Sasa leo unajitokeza
 
Ndo uchepuke sasa?? Hujui ndio unajitafutia matatizo zaidi?? Ukichepuka umesovu tatizo????
Kaa nae chini ongea nae wekeni mambo yenu sawa.
 
Nawewe jamani si nimesema kabisa kuwa ndo nimepevuka kiakili????!!!! Mbona ivo lakini!!
 
Kama yupo mwanamke mwenye vigezo hivyo hapo juu, Naomba ajitokeze tukamuweke Kwenye MAKUMBUSHO YA TAIFA kwasababu atakuwa ni hazina kubwa sana iliyobaki
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]
 
labda kizazi kijacho huko mbele lakini sio hiki[emoji23] [emoji23]
Hiko ndo kitakua balaa kabisa nahao wanaume watakoma
 

Attachments

  • TMPDOODLE1487410211789.jpg
    87.8 KB · Views: 42
Mass comm for real.. utakua news reporter??????!!! Or news editing????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…