Wasichana /Wanawake wenzangu

Wasichana /Wanawake wenzangu

Mh mi nadhani kwa mfano huo bado mwanamke atakua na kosa hapo. Kufua na kupika ni baadhi tu ya majukumu ya mke. Panga vizuri ratiba zako mwanamke. Hapo angeloweka nguo akaja kupika chai amtengee mumewe then aendelee nayake... Au kama alidamka mapema kuanza kufua akiona dalili za mume kuamka asitishe kufua amuandalie mume kwanza.... Ni mawazo yangu lakini
Mumeo ana raha sana.
Dalili zinajionyesha wazi kabisa.
Naomba kama hutajali unitolee mfano wa msimamo anaopaswa kuwa nao mwanamke.
 
Mumeo ana raha sana.
Dalili zinajionyesha wazi kabisa.
Naomba kama hutajali unitolee mfano wa msimamo anaopaswa kuwa nao mwanamke.
Kujisimamia katika mambo ya msingi ila si jeuri wala kiburi kwa mume. ukimfanyia kiburi au jeuri mwisho wa siku wewe mwanamke ndo utaumia make wenzetu hawa mungu aliwapendelea sana
 
Upendeleo mkubwa tuliopewa wanaume ni kuwa na mamlaka mapana ya kuchagua tunachopendezwa nacho.
Wanawake husubiri wadondokewe na bahati, kwa. Maana hiyo hiyo mapungufu ya mdondo ndio mtihani wao!! Wakijikweza hujikuta wamerudi nyuma ground zero kula mitongozo ya masela na kutestiwa mpaka na mateja uchwara.
 
Nimemuacha mahali anafanya scrub
Weekend sio?? Akimaliza unampitia mkafanye yenu?? Hongereni na pendaneni toka moyoni na upendo wenu ukapate kudumu milele na milele amina
 
Upendeleo mkubwa tuliopewa wanaume ni kuwa na mamlaka mapana ya kuchagua tunachopendezwa nacho.
Wanawake husubiri wadondokewe na bahati, kwa. Maana hiyo hiyo mapungufu ya mdondo ndio mtihani wao!! Wakijikweza hujikuta wamerudi nyuma ground zero kula mitongozo ya masela na kutestiwa mpaka na mateja uchwara.
Kitu kingine sisi tukishazaaga ndokwisha kabisa yani. Lakini wanawake niwale wale mjue hata huyo unaekutana nae ukamtamani mwisho wa siku atakua kama yule wakwanza tu.. Sema nasisi nao sometimes tunajiweka rafu sana. Hapa dawa ni kujiweka swafi na vizuriiiiii
 
Kama yupo mwanamke mwenye vigezo hivyo hapo juu, Naomba ajitokeze tukamuweke Kwenye MAKUMBUSHO YA TAIFA kwasababu atakuwa ni hazina kubwa sana iliyobaki
hahaahahahaha

mm mwenyewe natafuta mwenye tabia hzo tuyajenge lakin wap mpaka nasemaga i will marry when I want because beautiful once is not yet born
 
Wanawake wenzangu!
Natamani sana sote humu tuwe wake wema kwa wame zetu au mahusiano yetu kiujumla. Hivo naomba kushea kitu hapa. Hii nimeona mahali nikabarikiwa nayo kuleta kwenu wapendwa.

BUSARA KWA WANAWAKE.

1. Degree yako ya fist class uliyoipata chuo kikuu haiwezi kukufanya uwe mke first class katika ndoa yako bali ni heshima yako na uthubutu wako.

2. Mwanamke anaemuheshimu mumewe ni mwanamke bora ambae kila mwanaume angetamani kuwa nae.

3. Tabia yako na misimamo yako ndio itakayomfanya mumeo ajute au afurahie kukuoa wewe.

4. Kuwa mke bora inakubidi uwe vizuri katika maarifa ya kutawala hasira zako na sio kuwa mtu wa kulipiza visasi.

5. Kuwa kiongozi huko kazini kwako lakini kuwa mtu wa kunyenyekea nyumbani kwako kwa mumeo. Hiyo ni busara.

6. Usiweke mashindano na mumeo, mpe hongea na mtie moyo kwa kila hatua anayopiga katika maisha.

7. Kuwa na ubinadamu, sio kosa dogo tu mumeo amefanya ukatamani kulipiza kisasi. It won't help u!

8. Kuwa mkarimu, kila mwanaume anamuheshimu mwanamke mkarimu na mwenye msimamo.

9. Usijaribu kumpa adhabu mumeo ya kumnyima chakula cha usiku kitandani, hii itamlazimu kutafuta chakula nje ya ndoa.

10. Hakuna kitu kibaya kama utakubali kuwa ulikosea kama kweli ulikosea. Kuwa mrahisi kukubali kama kweli ulikosea. Na omba radhi pale inapobidi.

11. Jiandae kumsamehe mumeo pale anapokosea kwa maana mke atoae msamaha kwa mumewe ni mke mwema tofauti na yule aliejaa visasi.

12. Tengeneza maamuzi ya kuwa mke mwema, pasina kuwa na hofu yoyote na Mungu atakubariki.

13. La mwisho na la muhimu tambua kwamba mwanamke aliejaliwa umbo zuri na sura nzuri pasina maarifa kichwani anafaa kwa usiku mmoja, lakin yule mwenye maarifa na ufahamu yeya afaa kwa maisha yote!

Akhsanteni na weekend njema
Kama yupo wa hivi, haraka sana apewe ulinzi kama wa falu john
 
Kitu kingine sisi tukishazaaga ndokwisha kabisa yani. Lakini wanawake niwale wale mjue hata huyo unaekutana nae ukamtamani mwisho wa siku atakua kama yule wakwanza tu.. Sema nasisi nao sometimes tunajiweka rafu sana. Hapa dawa ni kujiweka swafi na vizuriiiiii
Mwanamke aliyezaa ndiye mwanamke msweet kwa bed, maana anao uwezo wa kufikia lengo la shughuli ikiwa atashughulishwa kwa mikogo stahiki, ambao hawajazaa huwa hawajui wanafanya nini kwa kitanda, wanajirusharusha tu!! Kufika kileleni ni nadra sana kwao.
Kumshuhudia mwanamke anafika kileleni nayo ni raha bab kubwa.
(kulialia kwa wanawake kwa bed kunatokana na hiyo base)
 
Back
Top Bottom