Ilankunda1234
JF-Expert Member
- Dec 28, 2015
- 4,840
- 4,806
Asilimia 98% ya akina dada wa siku hizi sio kujenga ndoa yake,Dhana mbaya sana hii katika ndoa
Yuko bize kujenga ndoa za wazazi wake kwa kigezo kuwa mwanaume sio ndugu
Asilimia 98% ya akina dada wa siku hizi sio kujenga ndoa yake,Dhana mbaya sana hii katika ndoa
Sio kweli, mwanamke akishazaa hua anasukumia mapenzi yote kwa mtotoMh wengi wenu huwa hampendi tukishazaa maungo yetu yanabadilika sana.. Sawa mnapenda watoto ila sisi mhmmhmhmhmh!
Mh mbona kama hapo juu ni kinyume chahapo wengi tunabomoa ndomana kumekua na mabalaa kwenye ndoaAsilimia 98% ya akina dada wa siku hizi sio kujenga ndoa yake,
Yuko bize kujenga ndoa za wazazi wake kwa kigezo kuwa mwanaume sio ndugu
mm apa nipoKama yupo mwanamke mwenye vigezo hivyo hapo juu, Naomba ajitokeze tukamuweke Kwenye MAKUMBUSHO YA TAIFA kwasababu atakuwa ni hazina kubwa sana iliyobaki
pamekaa vizuri tehe tehe tehe chakula cha usikuNamba 9 vipi shoga?? Pamekaa vibaya au??
Mass comm for real.. utakua news reporter??????!!! Or news editing????
mlejeshoMaji meusi hupenda maji papai mbona si unajua lakini?? Nasisi waafrika ni weusi. So wewe hapo unapendwa sana![]()
![]()
mlejesho
Unapost nyingi za akili
Ili kulinda moyo wangu nimegundua wewe ni moja kama yule mwanamke aliyezungumziwa na nyerere
Kila aliyemfuata aligeuka jiwe kwa makelele ya uyooo, uyoooooo uyooooo uyoooooooo.
Kuepuka hili nimegundua unagombaniwa na wengi hasa maji ya kunde,
Wengine sie maji papai ngoja tuu tuvumilie
Walio wengi hawako bize kujenga ndoa zao, wako bize kujenga ndoa za wazazi waoMh mbona kama hapo juu ni kinyume chahapo??
Na naniMaji meusi hupenda maji papai mbona si unajua lakini?? Nasisi waafrika ni weusi. So wewe hapo unapendwa sana

Mwanamume asiyebadilika kiakili huyo ni mzigo kwa jamii, umesema kweli kuwa huwa ni kama mnatakiwa muendelee kuwa vigori, lakini ukweli ni kuwa ambao hawajazaa huwa wanafanya vurugu tu kwa bed, walio na watoto wanajua malengo ya faragha. Hao ndio huwatuliza munkari wababa wenye sifa za kivulana na mihemko ya kuku (jogoo)Mh wengi wenu huwa hampendi tukishazaa maungo yetu yanabadilika sana.. Sawa mnapenda watoto ila sisi mhmmhmhmhmh!