Wasichana /Wanawake wenzangu

Wasichana /Wanawake wenzangu

Kama yupo mwanamke mwenye vigezo hivyo hapo juu, Naomba ajitokeze tukamuweke Kwenye MAKUMBUSHO YA TAIFA kwasababu atakuwa ni hazina kubwa sana iliyobaki
🙂🙂🙂🙂🙂🙂🙂🙂 sijui watu huwa wanafikilia nini ha ha ha ha ha ha
 
Umpate wa hivyo alafu ana msambwanda pia, unakua hutoki ndani


Na baada ya muda utafukuzwa kazi au kufirisika kwa sababu huendi kazini

Kitachofuatia hapo ni huyo mwanamke mwenye tabia za ndoto za wanaume wengi kukukimbia kwa sababu ya UKATA ndani ya nyumba

Wanawake Mungu anawaona jamani
 
Back
Top Bottom