Wasichana /Wanawake wenzangu

Wasichana /Wanawake wenzangu

Mh Sijakuelewa hapa naomba ufafanuzi kidogo
Umetaja kwenye andiko lako kuwa mwanamke awe na msimamo, nijuavyo mimi msimamo ni kusimamia unachokiamini kuwa ni sahihi.
Kama hivyo ndivyo huoni kama mwanamke anaposimamia anachokiamini ndio anaonekana mjeuri? Kwa mfano mwanamke amefua toka alfajiri, anaamini kuwa kuandaa chai ni stahiki aandae mumewe, jambo analoamini ni kinyume na mpango mzima wa mtiririko wa maisha ya kiafrika.
Anaamua kuusimamia!! Hapo hajawa kiburi huyu?
Yaani hataki kuniandalia chai kisa anafua???
Karibu.
 
Mh mi nadhani kwa mfano huo bado mwanamke atakua na kosa hapo. Kufua na kupika ni baadhi tu ya majukumu ya mke. Panga vizuri ratiba zako mwanamke. Hapo angeloweka nguo akaja kupika chai amtengee mumewe then aendelee nayake... Au kama alidamka mapema kuanza kufua akiona dalili za mume kuamka asitishe kufua amuandalie mume kwanza.... Ni mawazo yangu lakini
 
Kama wewe hufanyi, wenzio wanafanya cha ajabu nini hapo? Kuna uhusiano gani kati ya kumbadilisha mtu na boxer?
Tatizo Huyo amewaza chini tu na si nje yahapo
 
Unaniaibisha bana mwanaume unakimbiaje soo..!???!! Afu maneno yote hayo kumbe mwoga huhuhuu ..hebu Sovu kiume bana
Hilo sio soo... Ila nimewapa nafasi kwanza ili baadae nikirudi niukate mzizi wa fitina
 
Back
Top Bottom