Wasichana /Wanawake wenzangu

Wasichana /Wanawake wenzangu

Na ingekuwa hivyo, basi tusingeijua talaka,lakin shetani kawashika akili,kawatia tamaa,kiburi,jeuri na 'eti haki sawa' hapo tu awawezi kunyenyekea,mtazamo wangu tu.
Halafu wewe ushakata tamaa! Amini bana tutabadilika
 
Kama yupo mwanamke mwenye vigezo hivyo hapo juu, Naomba ajitokeze tukamuweke Kwenye MAKUMBUSHO YA TAIFA kwasababu atakuwa ni hazina kubwa sana iliyobaki
[emoji28] [emoji28] [emoji28] Stunter umeanza eeeh nitakuletea mmoja
 
Wakati mwingine tunahitaji wanaume wavumilivu na wenye akili ili kutubadilisha.
 
Aise mada nzuri sana mwenye masikio na asikie na mwenye macho na aone.....tatizo kiburi dharau ujuaji n.k na hii inapendeza kama wote me na ke wakafanya hayo
 
Back
Top Bottom