Ok, ila ni vizuri mkatulia, na kubadilika wenyewe bila kusubiri kubadilishwa, wanaume tuna majukumu mengi sana sasa linapoingia suala la kumrekebisha mwanamke kama mtoto dah! wengi wanapotezea na kuonekana hawajali kumbe sivyoYeah nikweli mwanamke hubadilushwa na mwanaume alienae. hata kama huyo mwanamke awe mtata kiasi gani mwanaume akisimamia shoo anakua mtiifu na anatekeleza asemayo mwanaume
Kama hivo mkuu apo atakae kabidhiwa mali ataishi kwa aman sanaAsante though Mwenyewe tu unanijaji tofauti.. Enwei nimekua kiakili

ChocolateKatamu kama nini vilee?????
Usichoke wala kumkatia tamaa ofcoz nikweli sometimes sisi nikama watoto.. Nikikosa nieleweshe nielekezeOk, ila ni vizuri mkatulia, na kubadilika wenyewe bila kusubiri kubadilishwa, wanaume tuna majukumu mengi sana sasa linapoingia suala la kumrekebisha mwanamke kama mtoto dah! wengi wanapotezea na kuonekana hawajali kumbe sivyo
Sasa si ujibu kule?Khakhaakhaaaaa tongoza tu Kama una mshipa
And that's what costs us women!Njoo ichukuliwe zawadi. ..wanawake wengi hasa wanaojiita wasomi wanafeli ktk ndoa kwa ujinga wa kuamini elimu waliyoipata vyuoni ndio kila kitu kwao, ndoa zinadumu endapo wanandoa wote mtazifuata na kuzisimamia "marriage ethics "
P n nini? Pipi au.. Unapenda pipi nini?Mhmmhmhmhmhmhmh haya bana nilijua utataja P
Eeeeh hata ndo namsubrBonga nae kiutu uzima
Sio kwamba napenda zote. Napenda yako tu, ndio uniambie hapa nifanyeje ili niibusu kwa ulimiAcha bana kwani hujui?? Si hio kitu unaapendaga!!
Baadhi ya,waschanasikila mwanamke ni mke