snowhite
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 18,422
- 25,320
ahahahahahhaha haya mama!That's a hand to mouth type of life.. You won't get along with your partner for that!
ahahahahahhaha haya mama!That's a hand to mouth type of life.. You won't get along with your partner for that!
mkuu mi nadhan kushika neno n busara zaid no matter hyo mtu anae toa hilo neno n mzur/mchaf kias ganUshauri mzuri kweli kweli,ila wewe mwenyewe unaufuatilia kweli?
Huu ushauri umewasaidia watu kwa asilimia ngapi?
Je wewe mwenyewe huu ushauri umekusaidia?
Nimeuliza hayo kwa sababu every action imposed to people has different responce.....
Mambo aliyo yaandika practically hayawezekani.mkuu mi nadhan kushika neno n busara zaid no matter hyo mtu anae toa hilo neno n mzur/mchaf kias gan
Mleta maada kaitoa kwa ujumla wake bila ubaguzi wa kdini
NATAFUTAGA WA AINA HII . UMEOLEWA WEWE.......? NI- PMWanawake wenzangu!
Natamani sana sote humu tuwe wake wema kwa wame zetu au mahusiano yetu kiujumla. Hivo naomba kushea kitu hapa. Hii nimeona mahali nikabarikiwa nayo kuleta kwenu wapendwa.
BUSARA KWA WANAWAKE.
1. Degree yako ya fist class uliyoipata chuo kikuu haiwezi kukufanya uwe mke first class katika ndoa yako bali ni heshima yako na uthubutu wako.
2. Mwanamke anaemuheshimu mumewe ni mwanamke bora ambae kila mwanaume angetamani kuwa nae.
3. Tabia yako na misimamo yako ndio itakayomfanya mumeo ajute au afurahie kukuoa wewe.
4. Kuwa mke bora inakubidi uwe vizuri katika maarifa ya kutawala hasira zako na sio kuwa mtu wa kulipiza visasi.
5. Kuwa kiongozi huko kazini kwako lakini kuwa mtu wa kunyenyekea nyumbani kwako kwa mumeo. Hiyo ni busara.
6. Usiweke mashindano na mumeo, mpe hongea na mtie moyo kwa kila hatua anayopiga katika maisha.
7. Kuwa na ubinadamu, sio kosa dogo tu mumeo amefanya ukatamani kulipiza kisasi. It won't help u!
8. Kuwa mkarimu, kila mwanaume anamuheshimu mwanamke mkarimu na mwenye msimamo.
9. Usijaribu kumpa adhabu mumeo ya kumnyima chakula cha usiku kitandani, hii itamlazimu kutafuta chakula nje ya ndoa.
10. Hakuna kitu kibaya kama utakubali kuwa ulikosea kama kweli ulikosea. Kuwa mrahisi kukubali kama kweli ulikosea. Na omba radhi pale inapobidi.
11. Jiandae kumsamehe mumeo pale anapokosea kwa maana mke atoae msamaha kwa mumewe ni mke mwema tofauti na yule aliejaa visasi.
12. Tengeneza maamuzi ya kuwa mke mwema, pasina kuwa na hofu yoyote na Mungu atakubariki.
13. La mwisho na la muhimu tambua kwamba mwanamke aliejaliwa umbo zuri na sura nzuri pasina maarifa kichwani anafaa kwa usiku mmoja, lakin yule mwenye maarifa na ufahamu yeya afaa kwa maisha yote!
Akhsanteni na weekend njema
Kwani umeambiwa anatafuta mumeNATAFUTAGA WA AINA HII . UMEOLEWA WEWE.......? NI- PM
hahahahhhahahahahahahahahYani hapo nimetoa fursa, na bahati mbaya hajajitokeza hata mmoja, it means hakuna mwanamke wa namna hiyo...
Mkuu naunga mkono hoja hasa kwa mifano uliyotolea!Kwanza ni kile, nilikosea , ilipaswa iwe hivi,...
"""""' mwanaume huishi kulingana na matakwa ya mwanamke"""
Hii nadhani yenyewe utata wake umeisha.
Yaa wanaume tunachaguliwa namna ya kuishi na wanawake,
Mwanamke ndio hutoa malezi kwa mwanaume hasa katika kila nyanja.
Mathalani:-
Kuelewana/kutoelewana sana na majirani hutengenezwa na mwanamke, usafi au uchafu kwa ujumla hutegemea mwanamke, kipato kwa asilimia kubwa hutegemea mwanamke., nguvu na molari za kufanya kazi hutegemea mwanamke, furaha au huzuni nyumbani humtegemea sana mwanamke
N.k nyingi
Ukitaka mafanikio huwezi mkimbia mwanamke.
Hongera sana mkuu!Aisee wapo, mfano mzuri ni mke wangu. Hivyo vigezo vyote anavyo na sifa zingine nzuri ambazo hakutaja. Maisha swafi kabisa.
Na siku hizi dini zimejawa na wanafiki sana! Mtu kutwa kucha yuko kwa kusali lakini moyoni hana upendo kabisa! Dini ya kweli matendo ya mtu!Kwani wote wanaamini katika Mungu??
Sio kweli mkuu kuna watu wapole mpaka unamwonea huruma anavyohangaishwa na mke wake tena mke anajidai kabisa kwa kusema kuwa ameshamteka hawezi kufurukuta kumbe ni mtu kuwa mwelewa na uvumilivu tu.Wapo wengi tu, sema wanaume wanaolalamika sana huwa wanakutana na wa kufanana nao, hapo ndipo tatizo linapoanzia.
Wanasahau kuwa unapewa wa kufanana nawe.
Bado tu huoni udhaifu wa huyo mwanaume ulomdescribe katika maelezo yako!!!Sio kweli mkuu kuna watu wapole mpaka unamwonea huruma anavyohangaishwa na mke wake tena mke anajidai kabisa kwa kusema kuwa ameshamteka hawezi kufurukuta kumbe ni mtu kuwa mwelewa na uvumilivu tu.
Lakini pia ikumbukwe kuna watu wanajua kupretend pale anapokuwa anatafuta kuolewa anaweza kufanya pretending hata kwa miaka sita ila akishaingia kwenye himaya ndio anaonesha makucha! Kuna wengine wapole kwa sababu wako weak either economically au kitu fulani hana ila kadiri mnavyoendelea kuishi na kupata mafanikio ndio wanaanza kuonesha jeuri! Hujawahi kuwaona/kuwasikia hao?
The way nilivyo mpole mpaka nikimfokea anadhani nam'bembeleza basi anaeza akapitiwa na usingizi kabisaaa
hakyanai!Loveness umefikishwaa![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
hakyanai!
Loveness umefikishwaa
ushaanza na wewe, nimefikishwa wapi? Jamani kuishi ni raha!Umefikishwa kunako... Au uongo??![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
ushaanza na wewe, nimefikishwa wapi? Jamani kuishi ni raha!