Wasichana /Wanawake wenzangu

Wasichana /Wanawake wenzangu

Hivi unaongelea wanawake wa karne hii??? watoto wa instagram and co???

Wanawake wenzangu!
Natamani sana sote humu tuwe wake wema kwa wame zetu au mahusiano yetu kiujumla. Hivo naomba kushea kitu hapa. Hii nimeona mahali nikabarikiwa nayo kuleta kwenu wapendwa.

BUSARA KWA WANAWAKE.

Aisee wapo, mfano mzuri ni mke wangu. Hivyo vigezo vyote anavyo na sifa zingine nzuri ambazo hakutaja. Maisha swafi kabisa.
Wapo wengi tu, sema wanaume wanaolalamika sana huwa wanakutana na wa kufanana nao, hapo ndipo tatizo linapoanzia.
Wanasahau kuwa unapewa wa kufanana nawe.
 
Mbona masuala ya Mungu sijayaona hapo? Hilo ndilo la msingi zaidi, ukizingatia hilo kwa dhati mengine yanafuata tu.

Alafu ikumbukwe mke ni reflection ya mumewe.
Hayo ni baadhi
Wapo wengi tu, sema wanaume wanaolalamika sana huwa wanakutana na wa kufanana nao, hapo ndipo tatizo linapoanzia.
Wanasahau kuwa unapewa wa kufanana nawe.
Hahahaahhahahaahahahahaha hata ndege wafananao huruka pamoja
 
Hayo ni baadhi

Hahahaahhahahaahahahahaha hata ndege wafananao huruka pamoja
Ujumbe murua mama, ila hayo mengi yanategemeana na mume, mke anareflect tabia za mumewe.
Kwahiyo waweza jitahidiii ila kama una mume furushi utegemee the opposite.
 
Ushauri mzuri kweli kweli,ila wewe mwenyewe unaufuatilia kweli?
Huu ushauri umewasaidia watu kwa asilimia ngapi?
Je wewe mwenyewe huu ushauri umekusaidia?

Nimeuliza hayo kwa sababu every action imposed to people has different responce.....
UNA AKIIIIIIIIIIIILI!
naomba nikutoe lunch!
 
Ujumbe murua mama, ila hayo mengi yanategemeana na mume, mke anareflect tabia za mumewe.
Kwahiyo waweza jitahidiii ila kama una mume furushi utegemee the opposite.
Wambie hao...
 
Back
Top Bottom